title : Raia wa Iran Avunja Rekodi ya Miaka 19 Kwenye Mashindano ya Asia
kiungo : Raia wa Iran Avunja Rekodi ya Miaka 19 Kwenye Mashindano ya Asia
Raia wa Iran Avunja Rekodi ya Miaka 19 Kwenye Mashindano ya Asia
Mwanamichezo kutoka Nchini Iran mnyanyua Vitu Vizito Moradi alinyanyua kilo 189 kwenye kundi la kilo 94 la wanaume na kuvunja rekodi ya kilo 188.
Raia wa Iran Sohrab Moradi amevunja rekodi ya kunyanyua uzani ambayo imekuwepo kwa miaka mingi na kushinda dhahabu kwenye mashindano ya Asia.
Moradi alinyanyua kilo 189 kwenye kundi la kilo 94 wanaume na kuvunja rekodi iliyokuwa imewekwa ya kilo 188 na Mgiriki Akakios Kakiasvilis mwaka 1999.
Fares Elbakh wa Qatar alichukua fedha huku Sumpradit Sarat wa Thailand akishinda shaba.
"Nilitaka sana kuvunja rekodi ya dunia kwa sababu ndiyo sikuwa nayo ni hii ilikikuwa fursa yangu ya mwisaho," alisema Moradi.
2Nina furaha sana kwa sababu jina langu litabaki kwenye rekodis za uzani wa kilo94."
Hivyo makala Raia wa Iran Avunja Rekodi ya Miaka 19 Kwenye Mashindano ya Asia
yaani makala yote Raia wa Iran Avunja Rekodi ya Miaka 19 Kwenye Mashindano ya Asia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Raia wa Iran Avunja Rekodi ya Miaka 19 Kwenye Mashindano ya Asia mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/raia-wa-iran-avunja-rekodi-ya-miaka-19.html
0 Response to "Raia wa Iran Avunja Rekodi ya Miaka 19 Kwenye Mashindano ya Asia"
Post a Comment