POLISI KILIMANJARO YANASA GARI LA KIFAHARI LILILOIBIWA NCHINI KENYA

POLISI KILIMANJARO YANASA GARI LA KIFAHARI LILILOIBIWA NCHINI KENYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POLISI KILIMANJARO YANASA GARI LA KIFAHARI LILILOIBIWA NCHINI KENYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POLISI KILIMANJARO YANASA GARI LA KIFAHARI LILILOIBIWA NCHINI KENYA
kiungo : POLISI KILIMANJARO YANASA GARI LA KIFAHARI LILILOIBIWA NCHINI KENYA

soma pia


POLISI KILIMANJARO YANASA GARI LA KIFAHARI LILILOIBIWA NCHINI KENYA

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro limefanikiwa kukamata gari  aina ya V8 Nissan Patrol linalodaiwa kuwa la wizi na kuwekwa namba bandia za usajili T 194 DEO .

Kamanda Issah alisema Gari hilo linadaiwa kupotea Nairobi nchini Kenya huku likitajwa kuwa ni mali ya mfanyabiashara mkubwa wa nchini humo  kabla ya kukamatwa katika kizuizi cha asakri kilichopo jirani na uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA ) eneo la kwa Wasomali.

"Tumekamata gari ambalo limeibiwa huko Kenya na tunawashikiliwa watu wawili ambao wanadaiwa kuhusika na wizi wa gari hilo ,tunategemea kulikabidhi kwa wahusika ,na hao watuhumiwa watapelekw Kenya kujibu mashtaka yao"alisema Issah.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi wa Polisi,Hamis Issa aikionesha kwa waandishi wa Habari Gari aina ya Nissan Patrol v8 linalodaiwa kuibiwa Nairobi nchini Kenya kabla ya kukamatwa likiwa njiani kuelekea jijini Arusha.
Muonekano wa Ndani wa gari hilo la kifahari ambalo hata hivyo lilikutwa kifaa cha kufuatilia mwenendo wa gari (Car Track) kikiwa kimeharibiwa.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Hamis Issah akizungka kutizma hilo gari nje ya kituo kikuu cha Polisi mjini Moshi .



Hivyo makala POLISI KILIMANJARO YANASA GARI LA KIFAHARI LILILOIBIWA NCHINI KENYA

yaani makala yote POLISI KILIMANJARO YANASA GARI LA KIFAHARI LILILOIBIWA NCHINI KENYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POLISI KILIMANJARO YANASA GARI LA KIFAHARI LILILOIBIWA NCHINI KENYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/polisi-kilimanjaro-yanasa-gari-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "POLISI KILIMANJARO YANASA GARI LA KIFAHARI LILILOIBIWA NCHINI KENYA"

Post a Comment