title : PICHA ZA MATUKIOMBALIMBALI MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO.
kiungo : PICHA ZA MATUKIOMBALIMBALI MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO.
PICHA ZA MATUKIOMBALIMBALI MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO.
Wananchi wa kata ya Vingunguti wakiwa wamembeba juu juu Mgombea kiti cha Udiwani Kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto wakati akiwasili katika uwanja wa mtaa wa Butiama tayarikuhutubia mkutano wa kampeni .(Picha na John Luhende)
Mgombea kiti cha Udiwani kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto akihutubia mkutano mkutano wa kampeni uliofanyika katika mtaa wa Butiama(picha na John Luhende).
Wananchi wa kata ya Vingunguti wakiwakatika mkutano wa Mgombea kiti cha Udiwani Kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto katika uwanja wa mtaa wa Butiama.(Picha na John Luhende)
Wananchi wa kata ya Vingunguti wakimsindikiza Mgombea kiti cha Udiwani Kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto katika uwanja wa mtaa wa Butiama.(Picha na John Luhende)
Wananchi wa kata ya Vingunguti wakimsindikiza Mgombea kiti cha Udiwani Kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto katika uwanja wa mtaa wa Butiama.(Picha na John Luhende)
Mgombea kiti cha Udiwani kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto aliye upande wa pili kushoto akiwa katika meza kuu kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni uliofanyika katika mtaa wa Butiama, wamwisho kulia ni Mwenyekiti wa Jumiya ya wazazi CCM Mkoa wa Dar es salaam Frank Kalokola Kamugisha.
Wananchi wa kata ya Vingunguti wakipata burudani ya muziki katika mkutano wa kumnadi Mgombea kiti cha Udiwani Kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto katika uwanja wa mtaa wa Butiama.(Picha na John Luhende)
Mgombea kiti cha Udiwani kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto aliye upande wa kushoto akiwa katika meza kuu kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni uliofanyika katika mtaa wa Butiama, wamwisho kulia ni Mwenyekiti wa Jumiya ya wazazi CCM Mkoa wa Dar es salaam Frank Kalokola Kamugisha.
Hivyo makala PICHA ZA MATUKIOMBALIMBALI MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO.
yaani makala yote PICHA ZA MATUKIOMBALIMBALI MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PICHA ZA MATUKIOMBALIMBALI MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/picha-za-matukiombalimbali-mgombea.html
0 Response to "PICHA ZA MATUKIOMBALIMBALI MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO."
Post a Comment