title : NEWZ ALERT:SHULE YA ST MARRY'S YATEKETEA KWA MOTO USIKU HUU MKOANI TABORA
kiungo : NEWZ ALERT:SHULE YA ST MARRY'S YATEKETEA KWA MOTO USIKU HUU MKOANI TABORA
NEWZ ALERT:SHULE YA ST MARRY'S YATEKETEA KWA MOTO USIKU HUU MKOANI TABORA
Moto mkubwa umezuka katika majengo ya Shule ya Sekondari St Marry's zamani Mihayo Sekondari iliyopo mkoani Tabora na kuteketeza baadhi ya mali.
Kikosi cha zima moto tayari kimefika eneo la tukio ili kuudhibiti moto huo, ambao kwa kiasi kikubwa umeenea katika baadhi ya majengo ya shule hiyo.
Taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza.
Hivyo makala NEWZ ALERT:SHULE YA ST MARRY'S YATEKETEA KWA MOTO USIKU HUU MKOANI TABORA
yaani makala yote NEWZ ALERT:SHULE YA ST MARRY'S YATEKETEA KWA MOTO USIKU HUU MKOANI TABORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT:SHULE YA ST MARRY'S YATEKETEA KWA MOTO USIKU HUU MKOANI TABORA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/newz-alertshule-ya-st-marrys-yateketea.html
0 Response to "NEWZ ALERT:SHULE YA ST MARRY'S YATEKETEA KWA MOTO USIKU HUU MKOANI TABORA"
Post a Comment