NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA AWAASA WATUMISHI WA TFS KANDA YA KUSINI

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA AWAASA WATUMISHI WA TFS KANDA YA KUSINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA AWAASA WATUMISHI WA TFS KANDA YA KUSINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA AWAASA WATUMISHI WA TFS KANDA YA KUSINI
kiungo : NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA AWAASA WATUMISHI WA TFS KANDA YA KUSINI

soma pia


NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA AWAASA WATUMISHI WA TFS KANDA YA KUSINI

Watumishi wa Wakala wa Huduma Tanzania (TFS)  wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia kanuni na sheria za utumishi wa Umma ili kuleta ufanisi  wakati wanapotekeleza majukumu yao ya uhifadhi.

Rai hiyo imetolewa jana  na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga wakati alipowatembelea jana watumishi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS)  kanda ya Kusini kwa ajili ya kuzungumza nao ikiwa ni muendelezo ya ziara yake ya kikazi ya  siku mbili mkoani Mtwara kwa ajili ya kushughulikia changamoto za Maliasili, Malikale na Uendelezaji Utalii.


Amewataka kufanya kazi kwa uadilifu wa hali ya juu na yeyote atakayetuhumiwa kupokea rushwa hata kama hajapokea rushwa hiyo kutoka wafugaji kwa makubaliano ya kuingiza mifugo hifadhini kwa makubaliano ya malipo atashughulikiwa ipasavyo.
Aliongeza kuwa endapo watumishi hao wataweza kutekeleza majukumu yao ipasavyo hakuna kiongozi yeyote watakayesumbuana nao.


‘’Tunataka mfanye kazi zenu za uhifadhi  kwa weledi wa hali ya juu na mkifanya vizuri basi nakuwa nimefanya mimi na mkifanya vibaya mnakuwa mnaniangusha mimi hivyo sitokubali’’ alisisitiza Naibu Waziri Hasunga.
Aidha, Amewata wafanye kazi kwa kushirikiana na jamii kwa vile hakuna shughuli yeyote itakayofanikiwa endapo wananchi wataachwa nyuma.


‘’Tunataka jamii ione faida ya moja kwa moja kwa kupata elimu kuhusu uhifadhi pamoja na kushirikishwa kwenye masuala yote ya misitu ili waweze kutoa ushirikiano wakati ukataji miti unapofanyika popote pale’’

 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akizungumza na Meneja wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) wa kanda ya Kusini, Ebramtino Mgiye mara baada ya kuwasili jana kwenye ofisi za TFS kanda ya Kusini kwa ajili ya kuzungumza nao ikiwa ni muendelezo ya ziara yake ya kikazi ya siku mbili mkoani Mtwara kwa ajili ya kushughulikia changamoto za Maliasili, Malikale na Uendelezaji Utalii.
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akizungumza na watumishi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzani (TFS) wakati alipowatembelea jana kwenye ofisi za TFS kanda ya Kusini ikiwa ni muendelezo ya ziara yake ya kikazi ya siku mbili mkoani Mtwara kwa ajili ya kushughulikia changamoto za Maliasili, Malikale na Uendelezaji Utalii.
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga(katikakati) akiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kuzungumza na Watumishi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania kwenye ofisi za TFS kanda ya Kusini ikiwa ni muendelezo ya ziara yake ya kikazi ya siku mbili mkoani Mtwara kwa ajili ya kushughulikia changamoto za Maliasili, Malikale na Uendelezaji Utalii.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA AWAASA WATUMISHI WA TFS KANDA YA KUSINI

yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA AWAASA WATUMISHI WA TFS KANDA YA KUSINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA AWAASA WATUMISHI WA TFS KANDA YA KUSINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/naibu-waziri-wa-maliasili-na-utalii.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA AWAASA WATUMISHI WA TFS KANDA YA KUSINI"

Post a Comment