MAZINGAOMBWE NI SAYANSI, WANASAYANSI CHIPUKIZI WATHIBITISHA

MAZINGAOMBWE NI SAYANSI, WANASAYANSI CHIPUKIZI WATHIBITISHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAZINGAOMBWE NI SAYANSI, WANASAYANSI CHIPUKIZI WATHIBITISHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAZINGAOMBWE NI SAYANSI, WANASAYANSI CHIPUKIZI WATHIBITISHA
kiungo : MAZINGAOMBWE NI SAYANSI, WANASAYANSI CHIPUKIZI WATHIBITISHA

soma pia


MAZINGAOMBWE NI SAYANSI, WANASAYANSI CHIPUKIZI WATHIBITISHA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
WANAFUNZI wa shule mbalimbali za Sekondari nchini wamekutana na kuonesha mawazo yao ya kiugunduzi kupitia taasisi ya Young Scientist (YS) na kuiomba Serikali kuwasaidia ili kufanikiwa katika kutimiza ndoto zao.

Katika hali ya kushangaza na kuvutia zaidi wanafunzi wa shule ya sekondari Vingunguti jijini Dar es salaam walionesha mazingaombwe kama vile kupoteza na kuirudisha sarafu, kujitoboa sehemu za miili yao na kudhibitisha kwamba dhana ya mazingaombwe ni sayansi na si usihiri (uchawi) kama inavyofahamika na watu wengi.

Akizungumza na Michuzi blogu mmoja wa wanafunzi hao Neema Julius ameeleza kuwa jamii itambue kuwa mazingaombwe ni sayansi inayotumika kila siku katika mazingira yetu na kwa utafiti wao wamegundua hakuna dhana ya ushirikina katika hilo.

Aidha wanafunzi kutoka shule ya sekondari Same wamegundua  umeme wa utokanao na mitetemo, sauti na upepo na wameona umeme huo utafaa katika maeneo ya vijijini kwani changamoto zake ni chache ila kutokana na vifaa na uwekezaji wameiomba serikali kutoa msaada ili waweze kukamilisha ndoto zao za kuwasaidia wananchi kupata nishati ya umeme.

Pia shule ya Sekondari ya Mtakatifu  Joseph Kolping baada ya kuona ongezeko la ajali za barabari wakaona watafute mbinu ya kudhibiti na wakaja na dhana ya matumizi ya roboti kuwa mlinzi  na mwongozaji wa watumiaji wa barabara na kuripoti kila aina ya kosa linalotendeka.
 Mwanzilishi mwenza wa YST, Dr. Gosbert Kamugisha akipata maelezo kuhusu matumizi ya umeme wa upepo, sauti, na mtetemo kutoka kwa mwanafunzi wa Same Sekondari, Samwel Osebius.
 Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya mtakatifu Joseph Kolping, Fransisco Solomon akionesha roboti waliyoitengeneza kwa ajili ya kulinda  barabarani.
Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya Vingunguti, Neema Julius akieleza namna mazingaombwe yana uhalisia wa sayansi tofauti na wanajamii wanavyofikiri.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MAZINGAOMBWE NI SAYANSI, WANASAYANSI CHIPUKIZI WATHIBITISHA

yaani makala yote MAZINGAOMBWE NI SAYANSI, WANASAYANSI CHIPUKIZI WATHIBITISHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAZINGAOMBWE NI SAYANSI, WANASAYANSI CHIPUKIZI WATHIBITISHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mazingaombwe-ni-sayansi-wanasayansi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAZINGAOMBWE NI SAYANSI, WANASAYANSI CHIPUKIZI WATHIBITISHA"

Post a Comment