Mzee Mwinyi amuombea dua na kumjulia hali Dkt. Kigwangalla MOI

Mzee Mwinyi amuombea dua na kumjulia hali Dkt. Kigwangalla MOI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mzee Mwinyi amuombea dua na kumjulia hali Dkt. Kigwangalla MOI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mzee Mwinyi amuombea dua na kumjulia hali Dkt. Kigwangalla MOI
kiungo : Mzee Mwinyi amuombea dua na kumjulia hali Dkt. Kigwangalla MOI

soma pia


Mzee Mwinyi amuombea dua na kumjulia hali Dkt. Kigwangalla MOI


RAIS Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi leo Agosti 29,2018 amemtembea na kumuombea dua maalum Dkt Hamisi Kigwangalla ambaye anapata matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI akiuguza majeraha ya mkono aliyopata katika ajali iliyotokea Agosti 4, mwaka huu Mkoani Manyara.

Mzee Mwinyi aliambatana na Mkewe Bi. Siti Mwinyi ambapo wamemjulia hali pamoja na kufanya dua hiyo ili aweze kupona haraka kurejea kwenye majukumu yake ya kitaifa.“Nimefika leo kukujulia hali na upokee dua hii upone haraka. Sisi tunaendelea kukuombea muda wote kwa muumba” alieleza Mzee Mwinyi.

Kwa upande wake Dkt. Hamis Kigwangalla amemshukuru Mzee Mwinyi na Mama Mwinyi kufika kumjulia hali ambapo awali alimuelezea kuwa anaendelea vizuri na muda wowote ataruhusiwa.“Nashukuru kufika kwenu na sasa naendelea na mzoezi vizuri huku kubwa nikisubiria ruhusa ya Madaktari wanaoendelea kunipatia matibabu” alieleza Dkt. Kigwangalla.

Katika hatua nyingine kwa sasa Dkt. Kigwangalla afya yake imeendelea kuimarika zaidi ambapo jana jioni ya Agosti 28, ameweza kutembea umbali wa zaidi ya Kilometa Nane ambapo hii ni hatua nzuri kwani kila siku amekuwa akiongeza umbali wa kutembea kwa lengo la kufanya mazoezi ya viungo vyake.

Dkt Kigwangalla alihamishiwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI tarehe 12/08/2018 baada ya kupata matibabu ya awali katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kwa sasa bado anaendelea na tiba kuuguza mkono wake wa kushoto.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi akiteta jambo alipomtembelea kumjulia hali Dkt Hamisi Kigwangalla ambaye anapata matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI akiuguza majeraha ya mkono. Kushoto ni Mke wa Mzee Mwinyi, Bi. Siti Mwinyi.

Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeketi (katikati) akiongoza dua maalum kumuombea Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamisi Kigwangalla (kulia)ambaye anapata matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI akiuguza majeraha ya mkono. Aliyekaa kushoto ni Mke wa Mzee Mwinyi, Bi. Siti Mwinyi.



Hivyo makala Mzee Mwinyi amuombea dua na kumjulia hali Dkt. Kigwangalla MOI

yaani makala yote Mzee Mwinyi amuombea dua na kumjulia hali Dkt. Kigwangalla MOI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mzee Mwinyi amuombea dua na kumjulia hali Dkt. Kigwangalla MOI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mzee-mwinyi-amuombea-dua-na-kumjulia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mzee Mwinyi amuombea dua na kumjulia hali Dkt. Kigwangalla MOI"

Post a Comment