MTUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI SINGH SETHI AIAMBIA MAHAKAMA HAJAONANA NA MKEWE KWA MIEZI SITA SASA

MTUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI SINGH SETHI AIAMBIA MAHAKAMA HAJAONANA NA MKEWE KWA MIEZI SITA SASA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MTUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI SINGH SETHI AIAMBIA MAHAKAMA HAJAONANA NA MKEWE KWA MIEZI SITA SASA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MTUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI SINGH SETHI AIAMBIA MAHAKAMA HAJAONANA NA MKEWE KWA MIEZI SITA SASA
kiungo : MTUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI SINGH SETHI AIAMBIA MAHAKAMA HAJAONANA NA MKEWE KWA MIEZI SITA SASA

soma pia


MTUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI SINGH SETHI AIAMBIA MAHAKAMA HAJAONANA NA MKEWE KWA MIEZI SITA SASA


Na Karama Kenyunko,Globu ya jamii

MSHITAKIWA  Harbinder Singh Sethi  anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa ana miezi sita sasa hajawahi kuonana na mke wake.

Sethi ameeleza hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shaidi wakati kesi yao ilipokuja kwa kutajwa.

Ameeleza hayo, baada ya Wakili wa Serikali Mwanaamina Kombakono kuieleza Mahakama kuwa kesi ilipangwa kwa ajili ya kutajwa, upelelezi bado haujakamilika na akaomba ipangiwe tarehe nyingine.

Kutokana na maelezo hayo kutoka kwa Kombakono Wakili anayemtetea Sethi,  Dorah Mallaba alidai kuwa bado hawajapata kibali kwa  ajili ya mshtakiwa Sethi kuonwa na mkewe.

Kutokana na hayo, aliiomba Mahakama iruhusu japo kwa dakika tano Sethi aonane na mkewe.

"Naomba Mahakama itumie busara kwa kuwa make wake yupo hapa mahakamani," amesema.

Wakili Kombakono alipinga hoja hiyo ya wakili Mallaba na kueeleza  kuwa  taratibu za kuwaona mahabusu zifuatwe.

Hata hivyo, Hakimu Shahidi amewaeleza upande wa utetezi kuwa taratibu za kuwaona na kuwatunza mahabusu ipo chini ya Magareza hivyo, kama kuna jambo lolote mahususi walete mahakani.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Septemba 13 mwaka huu kwa ajili ya kutajwa.

Katika kesi hiyo Sethi  anashtakiwa pamoja na James   Rugemarila, ambapo  wanakabiliwa na mashtaka  12 ya  uhujumu uchumi  kwa kula njama, kujihusisha mtandao wa uhalifu , kighushi,  kutoa nyaraka za kughushi, kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu,  kutakatisha fedha  na kuisababisha hasara ya USD 22, 198,544.60 na Sh 309,461,300,158.



Hivyo makala MTUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI SINGH SETHI AIAMBIA MAHAKAMA HAJAONANA NA MKEWE KWA MIEZI SITA SASA

yaani makala yote MTUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI SINGH SETHI AIAMBIA MAHAKAMA HAJAONANA NA MKEWE KWA MIEZI SITA SASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MTUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI SINGH SETHI AIAMBIA MAHAKAMA HAJAONANA NA MKEWE KWA MIEZI SITA SASA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mtuhumiwa-wa-uhujumu-uchumi-singh-sethi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MTUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI SINGH SETHI AIAMBIA MAHAKAMA HAJAONANA NA MKEWE KWA MIEZI SITA SASA"

Post a Comment