Mtoto wa Jinsia Mbili ya Kike na Kiume Azaliwa Wilayani Muleba Mkoani Kagera.

Mtoto wa Jinsia Mbili ya Kike na Kiume Azaliwa Wilayani Muleba Mkoani Kagera. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mtoto wa Jinsia Mbili ya Kike na Kiume Azaliwa Wilayani Muleba Mkoani Kagera., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mtoto wa Jinsia Mbili ya Kike na Kiume Azaliwa Wilayani Muleba Mkoani Kagera.
kiungo : Mtoto wa Jinsia Mbili ya Kike na Kiume Azaliwa Wilayani Muleba Mkoani Kagera.

soma pia


Mtoto wa Jinsia Mbili ya Kike na Kiume Azaliwa Wilayani Muleba Mkoani Kagera.


Na Dotto Mwaibale, Kagera
Mtoto wa Jinsia mbili ya kike na kiume amezaliwa katika Hospitali Teule ya Rubya iliyopo wilayani Muleba mkoani Kagera.

Kuzaliwa kwa mtoto huyo kumethibitishwa na Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dkt.Geore Kasibante (pichani),  ambaye alisema hali ya mtoto huyo kuwa inaendelea vizuri na kuwa wakati wowote atapelekwa hospitali kubwa kwa ajili ya uchunguzi ili afanyiwe upasuaji kwa vile katika hospila hiyo hawana madaktari bingwa wa kuweza kufanya upasuaji huo.



Hivyo makala Mtoto wa Jinsia Mbili ya Kike na Kiume Azaliwa Wilayani Muleba Mkoani Kagera.

yaani makala yote Mtoto wa Jinsia Mbili ya Kike na Kiume Azaliwa Wilayani Muleba Mkoani Kagera. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mtoto wa Jinsia Mbili ya Kike na Kiume Azaliwa Wilayani Muleba Mkoani Kagera. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mtoto-wa-jinsia-mbili-ya-kike-na-kiume_28.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mtoto wa Jinsia Mbili ya Kike na Kiume Azaliwa Wilayani Muleba Mkoani Kagera."

Post a Comment