Morogoro yafana baada ya kushinda gari la nane la M-Pesa

Morogoro yafana baada ya kushinda gari la nane la M-Pesa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Morogoro yafana baada ya kushinda gari la nane la M-Pesa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Morogoro yafana baada ya kushinda gari la nane la M-Pesa
kiungo : Morogoro yafana baada ya kushinda gari la nane la M-Pesa

soma pia


Morogoro yafana baada ya kushinda gari la nane la M-Pesa

Mstahiki Meya wa Mji wa Morogoro Paschal Kihanga Mwendashule (Kushoto) akimkabidhi funguo ya gari bi Glory Lyatuu kutoka Morogoro baada ya kuibuka mshindi wa nane wa promosheni ya Tumia M-Pesa ushinde gari, mteja wa M-Pesa anatakiwa kufanya miamala mingi zaidi ili kuweza kujishindia gari.
Mstahiki Meya wa Mji wa Morogoro Paschal Kihanga Mwendashule (Kushoto) akimkabidhi kadi ya gari Glory Lyatuu kutoka Morogoro baada ya kuibuka mshindi wa nane wa promosheni ya Tumia M-Pesa ushinde gari, mteja wa M-Pesa anatakiwa kufanya miamala mingi zaidi ili kuweza kujishindia gari.
Mkuu wa kitengo cha usambazaji M-Pesa Julius Kastabu (Kulia) akimuonesha kifaa cha pembetatu (triangle) Glory Lyatuu kutoka Morogoro baada ya kuibuka mshindi wa nane wa promosheni ya Tumia M-Pesa ushinde gari, mteja wa M-Pesa anatakiwa kufanya miamala mingi zaidi ili kuweza kujishindia gari.
Mshindi wa nane wa promosheni ya Tumia M-Pesa ushinde gari, Glory Lyatuu akiwa ndani ya lake alilojishindia kwenye promosheni ya Tumia M-Pesa ushinde gari, mteja wa M-Pesa anatakiwa kufanya miamala mingi zaidi ili kuweza kujishindia gari.


Hivyo makala Morogoro yafana baada ya kushinda gari la nane la M-Pesa

yaani makala yote Morogoro yafana baada ya kushinda gari la nane la M-Pesa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Morogoro yafana baada ya kushinda gari la nane la M-Pesa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/morogoro-yafana-baada-ya-kushinda-gari.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Morogoro yafana baada ya kushinda gari la nane la M-Pesa"

Post a Comment