title : MBUNGE JANETH MASABURI AHIMIZA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MKOA WA DSM.
kiungo : MBUNGE JANETH MASABURI AHIMIZA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MKOA WA DSM.
MBUNGE JANETH MASABURI AHIMIZA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MKOA WA DSM.
Mwambawahabari
Mbunge wa kuteuliwa na Rais Mhe Janeth Masaburi amewataka wakala wa baraba za mjini na Vijijini TARURA kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara ya Buguruni kwa myamani ili kuondoa usumbufu wanao upata wanachi hasa wanao enda kutibiwa katika Kituo cha Afya Buguruni.
Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM, mkoa wa Dar es Salaam, Masaburi pia amekagua barabara ya barakuda eneo la highland baakuelekea Vingunguti na barabara yakitunda Kivule, Daraja la Kivule na ujenzi wa Daraja la kerezange na pamoja na maeneo mbalimbali katika wilaya Ilala na kuzitaka Mamlaka zinazohusika kuchukua hatua.
Janeth Masaburi ambaye ni Mbunge wa mkoa wa Dar es Salaam, ameanza ziara ya Mkoa mzima kwaajili ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo, akiwa katika kituocha afya Buguruni ameutaka uongozi wa kituo hicho pamoja na kuwapongeza kwa huduma nzuri amewataka kuweka mikakati mathubuti kulikuboreshahuduma.
Hivyo makala MBUNGE JANETH MASABURI AHIMIZA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MKOA WA DSM.
yaani makala yote MBUNGE JANETH MASABURI AHIMIZA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MKOA WA DSM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE JANETH MASABURI AHIMIZA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MKOA WA DSM. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mbunge-janeth-masaburi-ahimiza.html
0 Response to "MBUNGE JANETH MASABURI AHIMIZA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MKOA WA DSM."
Post a Comment