title : Marais Wastaafu na viongozi mbalimbali wa serikali wawasili Chato kushiriki mazishi ya dada yake Rais Dkt Magufuli
kiungo : Marais Wastaafu na viongozi mbalimbali wa serikali wawasili Chato kushiriki mazishi ya dada yake Rais Dkt Magufuli
Marais Wastaafu na viongozi mbalimbali wa serikali wawasili Chato kushiriki mazishi ya dada yake Rais Dkt Magufuli
Marais Wastaafu Mzee Al-Hassan Mwinyi,Mh William Mkapa na Mh Jakaya Mrisho Kikwetee wakiwa na wake zao pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh John Mongella (pichani kushoto) wakiwa wamewasili uwanja wa ndege jijini Mwanza tayari kuelekea Chato mkoani Geita kushiriki mazishi ya Dada yake Rais Dkt John Pombe Magufuli aliyefariki hivi karibuni hospitali ya Bugando alikokuwa akipatiwa matibabu
Rais Mstaafu awamu ya tatu,Mh.William Benjamin Mkapa akiwasili uwanja wa ndege jijini Mwanza mapema leo tayari kuelekea kwenye msiba wa dada yake Rais Dkt John Magufuli,wilayani Chato mkoani Geita.
Rais Mstaafu awamu ya tatu,Mh.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameambatana na mkewe Salma Kikwete sambamba na viongozi wengine wakiwasili uwanja wa ndege jijini Mwanza mapema leo tayari kuelekea kwenye mazishi ya dada yake Rais Dkt John Magufuli,wilayani Chato mkoani Geita.
Hivyo makala Marais Wastaafu na viongozi mbalimbali wa serikali wawasili Chato kushiriki mazishi ya dada yake Rais Dkt Magufuli
yaani makala yote Marais Wastaafu na viongozi mbalimbali wa serikali wawasili Chato kushiriki mazishi ya dada yake Rais Dkt Magufuli Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Marais Wastaafu na viongozi mbalimbali wa serikali wawasili Chato kushiriki mazishi ya dada yake Rais Dkt Magufuli mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/marais-wastaafu-na-viongozi-mbalimbali.html
0 Response to "Marais Wastaafu na viongozi mbalimbali wa serikali wawasili Chato kushiriki mazishi ya dada yake Rais Dkt Magufuli"
Post a Comment