title : Makumbusho ya Mapinduzi yafunguliwa Rasmi, Kisonge Mnarani Zanzibar
kiungo : Makumbusho ya Mapinduzi yafunguliwa Rasmi, Kisonge Mnarani Zanzibar
Makumbusho ya Mapinduzi yafunguliwa Rasmi, Kisonge Mnarani Zanzibar
Naibu Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Chumu Kombo Khamis akikunjuwa kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Makumbusho ya Mapinduzi katika Mnara wa Miaka 50 ya Mapinduzi Muembe Kisonge mjini Zanzibar.
Naibu Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Chumu Kombo Khamis wapili kulia akipatiwa maelezo na Mkuu wa Huduma za Elimu Makumbusho Mw.Ramadhan Ali Machano katika Ufunguzi wa Makumbusho ya Mapinduzi katika Mnara wa Miaka 50 ya Mapinduzi Muembe Kisonge mjini Zanzibar.
Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Sabra Issa Machano akitoa hotuba yake katika Ufunguzi wa Makumbusho ya Mapinduzi katika Mnara wa Miaka 50 ya Mapinduzi Muembe Kisonge mjini Zanzibar.
Naibu Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Chumu Kombo Khamis akisisitiza jambo alipotoa hotuba ya Ufunguzi wa Makumbusho ya Mapinduzi katika Mnara wa Miaka 50 ya Mapinduzi Muembe Kisonge mjini Zanzibar.kulia yake ni Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Sabra Issa Machano na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ZSSF Dk,Suleiman Rashid.
Naibu Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Chumu Kombo Khamis katikati akiwa katika picha ya pamoja na waheshimiwa na Wafanyakazi wa ZSSF katika Ufunguzi wa Makumbusho ya Mapinduzi katika Mnara wa Miaka 50 ya Mapinduzi Muembe Kisonge mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Makumbusho ya Mapinduzi yafunguliwa Rasmi, Kisonge Mnarani Zanzibar
yaani makala yote Makumbusho ya Mapinduzi yafunguliwa Rasmi, Kisonge Mnarani Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makumbusho ya Mapinduzi yafunguliwa Rasmi, Kisonge Mnarani Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/makumbusho-ya-mapinduzi-yafunguliwa.html
0 Response to "Makumbusho ya Mapinduzi yafunguliwa Rasmi, Kisonge Mnarani Zanzibar"
Post a Comment