MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KUAPISHWA KWA MAJAJI WATEULE WATATU WA MAHAKAMA YA AFRIKA

MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KUAPISHWA KWA MAJAJI WATEULE WATATU WA MAHAKAMA YA AFRIKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KUAPISHWA KWA MAJAJI WATEULE WATATU WA MAHAKAMA YA AFRIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KUAPISHWA KWA MAJAJI WATEULE WATATU WA MAHAKAMA YA AFRIKA
kiungo : MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KUAPISHWA KWA MAJAJI WATEULE WATATU WA MAHAKAMA YA AFRIKA

soma pia


MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KUAPISHWA KWA MAJAJI WATEULE WATATU WA MAHAKAMA YA AFRIKA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Mhe. Jaji Sylvain Ore muda mfupi kabla ya kuapishwa kwa Majaji wapya watatu wa mahakama hiyo mjini Arusha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla ya kuapishwa kwa majaji wapya watatu wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu mjini Arusha.
  Majaji watatu wapya wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu wakiwa wameketi pamoja muda mfupi kabla ya kuapishwa, kutoka kushoto ni Mhe.Jaji Blaise Tchikaye (Congo), Mhe. Jaji Stella Isibhakhonem Anukam (Nigeria) na Mhe. Jaji Imani Aboud (Tanzania). (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi kutoka kwa  Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Mhe. Jaji Sylvain Ore mara baada ya kuapishwa kwa Majaji wapya watatu wa mahakama hiyo mjini Arusha.
 
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha mpya na Majaji wateule wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu ambao wameapishwa leo mjini Arusha  kushoto ni Mhe.Jaji Blaise Tchikaye (Congo), Mhe. Jaji Imani Aboud (Tanzania) na kulia ni Mhe. Jaji Stella Isibhakhonem Anukam (Nigeria)  . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KUAPISHWA KWA MAJAJI WATEULE WATATU WA MAHAKAMA YA AFRIKA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KUAPISHWA KWA MAJAJI WATEULE WATATU WA MAHAKAMA YA AFRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KUAPISHWA KWA MAJAJI WATEULE WATATU WA MAHAKAMA YA AFRIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/makamu-wa-rais-ahudhuria-kuapishwa-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KUAPISHWA KWA MAJAJI WATEULE WATATU WA MAHAKAMA YA AFRIKA"

Post a Comment