MAKAMPUNI YA ULINZI YATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA.

MAKAMPUNI YA ULINZI YATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMPUNI YA ULINZI YATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMPUNI YA ULINZI YATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA.
kiungo : MAKAMPUNI YA ULINZI YATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA.

soma pia


MAKAMPUNI YA ULINZI YATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA.

Na Gasto Kwirini wa Polisi Arusha
Jeshi la Polisi Mkoani hapa limeyaonya baadhi ya Makampuni ya Ulinzi kuacha tabia ya kutumia magari yao ya dharura vibaya kinyume na utaratibu pindi wawapo barabarani.
Hayo yamesemwa leo na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi wakati akiwakaribisha ofisini kwake  Viongozi wapya wa Makampuni ya Ulinzi Mkoa wa Arusha waliochaguliwa tarehe 11 Agosti mwaka huu katika Ukumbi wa Maofisa wa Polisi Arusha.
“Kuna baadhi ya Magari ya Makampuni ya Ulinzi yanatumiwa vibaya kwa kigezo cha kuwahi dharura japokuwa wakati mwingine huko waendako hakuna hiyo dharura inayowataka wafanye hivyo. Lakini pia pale kwenye ulazima msitumie magari hayo ya  dharura kwa kubeba vitu haramu  kama vile bhangi”. Alionya kamanda Ng’anzi.
Aidha aliwahakikishia kufuatilia na kuzifanyia kazi changamoto zao hasa za ucheleweshwaji wa utolewaji wa vibali vya umiliki wa silaha, ucheleweshwaji wa utolewaji wa matokeo ya alama za Vidole kwa Askari wapya wanaoajiriwa. Ameyataka Makampuni yenye changamoto hizo kuorodhesha majina yao kupitia viongozi hao, na kuyapeleka ofisini kwake ili aweze kuyafanyia kazi kwa kushirikiana na idara husika na matokeo ya Alama hizo na Vibali hivyo viweze kutolewa haraka na kwa wakati.
Mwenyekiti wa Makampuni ya Ulinzi aliambatana na Viongozi wenzake ambao ni Makamu Mwenyekiti Bwana James Rugangila, Bi. Malima Macha ambaye ni  Katibu, Naibu katibu Bwana James Babu na Mjumbe mmoja Bwana Rashid Mtungi.
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi akiwa akiwa katika kikao na Viongozi wa Makampuni ya Ulinzi Mkoa wa Arusha waliofika Ofisini kwake kwa ajili ya kujitambulisha
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa makampuni ya ulinzi mkoa wa Arusha pamoja na Baadhi ya Maofisa wa Polisi mkoani humo.



Hivyo makala MAKAMPUNI YA ULINZI YATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA.

yaani makala yote MAKAMPUNI YA ULINZI YATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMPUNI YA ULINZI YATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/makampuni-ya-ulinzi-yatakiwa-kuacha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKAMPUNI YA ULINZI YATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA."

Post a Comment