title : MAGEREZA YAANDAA MKAKATI WA KUJITOSHELEZA KWA CHAKULA
kiungo : MAGEREZA YAANDAA MKAKATI WA KUJITOSHELEZA KWA CHAKULA
MAGEREZA YAANDAA MKAKATI WA KUJITOSHELEZA KWA CHAKULA
Na Deodatus Kazinja
Watendaji wote ndani ya Jeshi la Magereza wametakiwa kujiandaa kisaikolojia kupokea mkakati maalum wa uzalishaji wa chakula unaolenga kujitosheleza kwa chakula cha wafungwa na ziada kuuzwa katika sehemu nyingine.
Hayo yamesemwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini Phaustine Kasike leo Agosti 13, 2018 alipokuwa akizungumza na maafisa, askari na watumishi raia wa jeshi hilo alipofanya ziara yake ya kwanza mkoani Dodoma tangu ateuliwe kushika wadhifa huo Julai 13 mwaka huu.
Kamishna Jenerali Kasike amesema maandalizi ya mkakati huo yanaendelea vizuri makao makuu ya jeshi hilo na katika kipindi kifupi kijacho maelekezo ya utekelezaji wake yatatolewa na kushushwa katika vituo vyote vya magereza kwa ngazi ya mikoa na wilaya.
Amesema mkakati huu utakapokuwa umekamilika itakuwa ndiyo dira ya utekelezaji ndani ya jeshi na utamtaka kila kiongozi kuwa na mpango kazi katika eneo lake unaokwenda sambamba na malengo mapana ya jeshi hilo.
“Ninaamini jambo hili linawezekana na kwa kuanza na raslimali chache zilizopo kwakuwa wataalam wapo, ardhi ipo na nyenzo za kuanzia zipo tukijipanga vizuri tunaweza kupata mahala pazuri pa kuanzia” Amebainisha Jenerali Kasike
Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike (wa pili kushoto) akikagua moja ya nyumba za watumishi zinazojengwa gerezani hapo kwa mtindo wa kujitolea. Kushoto ni Mkuu wa Gereza Isanga Kamishna Msaidizi wa Magereza (ACP) Keneth Mwambije.
Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike (mwenye miwani) akikagua shamba la zabibu lililopo gereza Isanga mkoani Dodoma alipofanya ziara ya gerezani hapo leo Agosti 13, 2018.
Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike (wa pili kushoto) akiongea na baadhi ya maafisa na askari wa ofisi ya Mkuu wa Magereza mkoa wa Dodoma na gereza Isanga (hawapo pichani) alipofanya ziara mkoani Dodoma leo Agosti 13, 2018.Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Salum Omari.
Baadhi ya maafisa na askari wa ofisi ya Mkuu wa Magereza wa Dodoma na gereza Isanga wakifuatilia kwa makini hotuba ya Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike (hayupo pichani) alipofanya ziara mkoani Dodoma leo Agosti 13, 2018.
Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu Utumishi Dr. Laurean Ndumbaro (kulia) leo Agosti 13, 2018 alipofanya ziara ya kikazi ofisini kwake jijini Dodoma. Picha zote na Jeshi la Magereza. KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>

Hivyo makala MAGEREZA YAANDAA MKAKATI WA KUJITOSHELEZA KWA CHAKULA
yaani makala yote MAGEREZA YAANDAA MKAKATI WA KUJITOSHELEZA KWA CHAKULA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAGEREZA YAANDAA MKAKATI WA KUJITOSHELEZA KWA CHAKULA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/magereza-yaandaa-mkakati-wa.html
0 Response to "MAGEREZA YAANDAA MKAKATI WA KUJITOSHELEZA KWA CHAKULA"
Post a Comment