MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUYUNGU YAKAMILIKA, WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAPIGWA MSASA

MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUYUNGU YAKAMILIKA, WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAPIGWA MSASA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUYUNGU YAKAMILIKA, WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAPIGWA MSASA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUYUNGU YAKAMILIKA, WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAPIGWA MSASA
kiungo : MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUYUNGU YAKAMILIKA, WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAPIGWA MSASA

soma pia


MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUYUNGU YAKAMILIKA, WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAPIGWA MSASA

 Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Buyungu wilayani Kakonko Lusubilo, Kigoma Bw. Joeli Mwakibibi akizungumza na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura Jumamosi Agosti 11, 2018 wakati wa mafunzo ya Kusimamia uchaguzi  mdogo wa Ubunge utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu.
 Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Buyungu wilayani Kakonko Lusubilo, Kigoma Bw. Joeli Mwakibibi akiwaapisha Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura Jumamosi Agosti 11, 2018 ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu na kufuata sheria wakati wa mafunzo ya Kusimamia uchaguzi  mdogo wa Ubunge utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu.
 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia akizungumza na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Uchaguzi katika jimbo la Buyungu (hawapo pichani), wilayani Kakonko wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kusimamia Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo hilo Jumamosi Agosti 11, 2018.
 Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kiziguzigu Bi. Jesca Masawe akifafanua jambo kwa Wasimamizi wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura wakati wa mafunzo ya kusimamia uchaguzi mdogo katika jimbo la Buyungu leo.
 Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata ya Kakonko  Bi. Martina Ulungi akitoa ufafanuzi kuhusu namna ya kufunga lakiri (seal) za usalama kwenye maboksi ya kura wakati wa mafunzo kwa Wasimamizi wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura leo wilayani Kakonko.
 Mafunzo kwa vitendo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Mdogo jimbo la Buyungu yakiendelea leo katika jimbo la Buyungu.
Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia Kura wakifanya mazoezi kwa vitendo ya kufunga vituturi vya kupigia Kura vitakavyowekwa kwenye vituo vya kupigia Kura wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kusimamia uchaguzi mdogo leo wilayani Kakonko.
PICHA KWA HISANI YA NEC/BUYUNGU.



Hivyo makala MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUYUNGU YAKAMILIKA, WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAPIGWA MSASA

yaani makala yote MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUYUNGU YAKAMILIKA, WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAPIGWA MSASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUYUNGU YAKAMILIKA, WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAPIGWA MSASA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/maandalizi-ya-uchaguzi-mdogo-jimbo-la_11.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUYUNGU YAKAMILIKA, WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAPIGWA MSASA"

Post a Comment