Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala atembelea maonesho ya jeshi la zimamoto na uokoaji jijini Dodoma

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala atembelea maonesho ya jeshi la zimamoto na uokoaji jijini Dodoma - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala atembelea maonesho ya jeshi la zimamoto na uokoaji jijini Dodoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala atembelea maonesho ya jeshi la zimamoto na uokoaji jijini Dodoma
kiungo : Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala atembelea maonesho ya jeshi la zimamoto na uokoaji jijini Dodoma

soma pia


Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala atembelea maonesho ya jeshi la zimamoto na uokoaji jijini Dodoma

Maadhimisho ya Juma la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Maonesho ya wadau wa jeshi hilo yamefungwa leo Dodoma, ambapo msisitizo ulikuwa ni kwa watanzania kushiriki kukuza uchumi wa viwanda kwa kufunga ving'amuamoto viwandani.
 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala akisindikizwa na Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwenda kutembelea mabanda ya wadau wakati wa maazimisho ya Juma la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji yalifanyika katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.
 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, akioneshwa kifaa mahsusi kiitwacho "king'amua moto" kitumikacho kugundua moto ukiwa hatua za awali na kuwezesha kukabiliwa kwa urahisi  wakati akitembelea mabanda ya wadau wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwenye maonesho yaliyoandaliwa sambamba na maazimisho ya Juma la Jeshi hilo yalifanyika katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.
 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala akipata maelezo ya namna ya utoaji wa huduma mbalimbali  za kiuhamiaji mbalimbali toka kwa Mrakibu Msaidizi wa Uhamiaji, Alice Mhoja wakati akitembelea mabanda ya wadau wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwenye maonesho yaliyoandaliwa sambamba na maazimisho ya Juma la Jeshi hilo yalifanyika katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.
 Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakionesha namna ya kuokoa mtu aliyenaswa katika jengo refu.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala akipata maelezo ya namna ya kutumia zana mbalimbali  zinazotumika kuzima mioto ya aina tofauti toka kwa Luteni Kalalawina wakati akitembelea mabanda ya wadau wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwenye maonesho yaliyoandaliwa sambamba na maazimisho ya Juma la Jeshi hilo yalifanyika katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.


Hivyo makala Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala atembelea maonesho ya jeshi la zimamoto na uokoaji jijini Dodoma

yaani makala yote Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala atembelea maonesho ya jeshi la zimamoto na uokoaji jijini Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala atembelea maonesho ya jeshi la zimamoto na uokoaji jijini Dodoma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/kamishna-jenerali-wa-uhamiaji-dkt-anna.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala atembelea maonesho ya jeshi la zimamoto na uokoaji jijini Dodoma"

Post a Comment