JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUSIMAMIA VYEMA MATUMIZI.

JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUSIMAMIA VYEMA MATUMIZI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUSIMAMIA VYEMA MATUMIZI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUSIMAMIA VYEMA MATUMIZI.
kiungo : JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUSIMAMIA VYEMA MATUMIZI.

soma pia


JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUSIMAMIA VYEMA MATUMIZI.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo amewataka viongozi wa Halmashauri nchini kusimamia matumizi ya mapato yanayokusanywa katika Halmashauri zao.

Jafo ametoa kauli hiyo alipokuwa katika ukaguzi wa miradi ya maendeleo wilayani Geita na Chato katika mkoani wa Geita. Amesema Halmashauri mbalimbali zinatakiwa kusimamia vyema matumizi ya mapato hayo na kwa kiasi kikubwa yaelekezwe katika miradi ya maendeleo kwenye Halmashauri hizo kwa maslahi mapana ya wananchi.

Waziri Jafo amepongeza viongozi wa Halmashauri ya Mji wa Geita kwa usimamizi mzuri wa ukusanyaji wa mapato.Katika ziara hiyo, Waziri huyo amefanikiwa kukagua ujenzi wa soko la kisasa linalojengwa kwa fedha za ndani za Halmashauri ya mji wa Geita, barabara za lami za mji wa Geita zinazojengwa kwa mradi wa ULGSP, zahanati ya Buselesele, Kituo cha Afya Bwanga kilichopo wilayani Chato, pamoja na kutembelea shule ya sekondari Magufuli.

Akiwa Buselesele, Waziri Jafo amewahakikishia wananchi wa kata ya Buselesele kwamba serikali itajitahidi ili ijenge kituo cha afya cha kisasa katika kata hiyo ya Buselesele kutokana na idadi kubwa ya wananchi katika eneo hilo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo akipata maelezo ya ujenzi wa soko kutoka kwa Mkurugenzi wa mji wa Geita
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Magufuli walipotembelewa leo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo
Mkuu wa Mkoa na Geita Mhandisi Robert Gabriel akimueleza jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo alipotembelea katika zahanati ya Buselesele.
Wananchi katika kituo cha afya Bwanga wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo.



Hivyo makala JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUSIMAMIA VYEMA MATUMIZI.

yaani makala yote JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUSIMAMIA VYEMA MATUMIZI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUSIMAMIA VYEMA MATUMIZI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/jafo-azitaka-halmashauri-kusimamia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUSIMAMIA VYEMA MATUMIZI."

Post a Comment