DKT MPANGO AWAAGA WATUMISHI WATANO WIZARA YA FEDHA WANAOKWENDA KUSOMA UINGEREZA

DKT MPANGO AWAAGA WATUMISHI WATANO WIZARA YA FEDHA WANAOKWENDA KUSOMA UINGEREZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT MPANGO AWAAGA WATUMISHI WATANO WIZARA YA FEDHA WANAOKWENDA KUSOMA UINGEREZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT MPANGO AWAAGA WATUMISHI WATANO WIZARA YA FEDHA WANAOKWENDA KUSOMA UINGEREZA
kiungo : DKT MPANGO AWAAGA WATUMISHI WATANO WIZARA YA FEDHA WANAOKWENDA KUSOMA UINGEREZA

soma pia


DKT MPANGO AWAAGA WATUMISHI WATANO WIZARA YA FEDHA WANAOKWENDA KUSOMA UINGEREZA

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

Waziri wa Fedha na Mipango , Dkt Philip Mpango amewaaga watumishi watano wa wizara hiyo wanaosafiri kwenda nchini Uingereza kwa ajili ya ufadhili wa Masomo, uliotolewa na DFID Kupitia mfuko wake wa UKAID.

Akizungumza na Michuzi Media Group katika Mkutano wa kuwaaga watumishi hao, Waziri Mpango aliwataka Vijana hao kuwa wazalendo kwa nchi yao na kutokubali kuyumbishwa na jambo lolote la ujanja kutoka kwa watu wa Mataifa mengine.

“Hii nafasi niliomba mimi kwa ajili ya watumishi wa Wizara muende kujifunza na hili ni kundi la pili ,hivyo naomba mkafanye kile kilichowapeleka kwani watanzania  zaidi ya Milioni Hamsinii wanategemea kuja kunufaika na ujuzi mlioupata kutoka huku ili muweze kuja kuendesha taasisi hii,ambayo ndio Ubongo wa uchumi wa nchi yetu” alisema Dkt. Mpango.

Dkt MPango alisisitiza kuwa yeye kama  Waziri anajivunia sana kuona Vijana wanapanua maarifa kwa kujiongezea elimu kutoka sehemu nyingine ,kwani kunasaidia kujiamini na kuzungumza kwa hoja za uhakika mbele ya umati wa watu.Alisema kuwa kama watalaamu wote hao kutoka wizara ya fedha watafanikiwa kufanya vizuri, watazidi kuiongezea sifa nchi yetu kuendelea kupata nafasi ya kupeleka vijana wengi kwenda kujifunza.

Ameweka wazi kuwa yeye atakuwa Waziri mwenye furaha sana kwa kuona kila idara katika Wizara yake ina vijana makini ambao ni weledi katika kazi zao.
Waziri wa Fedha na Mipango , Dkt Philip Mpango akizungumza na Vijana watano kutoka Wizara hiyo ambao wamepata ufadhili wa masomo nchini Uingereza 
Waziri wa Fedha na Mipango , Dkt Philip Mpango akisisitiza jambo kwa Vijana hao 
Waziri wa Fedha na Mipango , Dkt Philip Mpango akiagana na Vijana hao na kuwatakia Safari Njema
Wafanyakazi wa Wizara ya fedha , Sudah Joseph, Peter Kalugwisha,Morick Mwasagwa,Eliud Mkilamweni na Tunsume Mlawa wakimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango , Dkt Philip Mpango 
Waziri wa Fedha na Mipango , Dkt Philip Mpango akiwa katika picha ya Pamoja na Wanufaika wa Ufadhili wa Masomo wa DFID kupitia Mfuko wa UKAID


Hivyo makala DKT MPANGO AWAAGA WATUMISHI WATANO WIZARA YA FEDHA WANAOKWENDA KUSOMA UINGEREZA

yaani makala yote DKT MPANGO AWAAGA WATUMISHI WATANO WIZARA YA FEDHA WANAOKWENDA KUSOMA UINGEREZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT MPANGO AWAAGA WATUMISHI WATANO WIZARA YA FEDHA WANAOKWENDA KUSOMA UINGEREZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/dkt-mpango-awaaga-watumishi-watano.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT MPANGO AWAAGA WATUMISHI WATANO WIZARA YA FEDHA WANAOKWENDA KUSOMA UINGEREZA"

Post a Comment