title : DC MURO KUWASHUGHULIKIA WANAUME WALIOTELEKEZA WATOTO ARUMERU
kiungo : DC MURO KUWASHUGHULIKIA WANAUME WALIOTELEKEZA WATOTO ARUMERU
DC MURO KUWASHUGHULIKIA WANAUME WALIOTELEKEZA WATOTO ARUMERU
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro ametoa mwezi mmoja kwa wanaume waliotelekeza watoto wilayani humo kuhakikisha wanaanza kutafuta watoto wao na kuanza kuwahudumia .
Dc Muro Alisema baada ya muda aliotoa kuisha ataanza kuwakaribisha Wanawake wote wanaoishi wilayani humo waliotelekezewa watoto kupeleka Malalamiko yap ofisini kwake.
Muro alitoa maagizo hayo juzi wakati Akizungumza na waandishi wa habari juu ya hali ya utelekezji wa watoto wilayani humo, Alisema lengo la zoezi hilo ni kupunguza idadi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu ,hatarishi na wanaojihusisha na uhalifu na wale wanaozurura na kuzagaa mitaani kwa kukosa malezi ya Wazazi wawili.
" Nichukue fursa hii kuwataarifu akinamama na akinadada waliozalishwa na kutelekezewa watoto na kuachwa wabebe Mzigo wa kuwahudumia watoto wako, *Natoa mwezi mmoja kwa kila mwanaume anayejua huko Arumeru* aanze kutafuta mtoto aliyemtelekeza"Alisema Muro
Aidha Dc Muro Alisema licha ya serikali kutangaza Elimu bure kwa wanafunzi wako baadhi ya wanafunzi ambao wanakwenda Shule bila sare ya Shule madaftari au viatu huku moja ya sababu inayochangia hali hiyo ikiwa ni kutelekezwa na baba zako.
" Nitoe rai tu najua wako watu watakaokaidi naomba wajifunze kupitia zoezi lililofanyika Dar es salaam likiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda zoezi la Arumeru nitakuwa Kali zaidi kuliko la Dar, wajue zoezi limeisha huko na limetua Arumeru Alisema.
Hivyo makala DC MURO KUWASHUGHULIKIA WANAUME WALIOTELEKEZA WATOTO ARUMERU
yaani makala yote DC MURO KUWASHUGHULIKIA WANAUME WALIOTELEKEZA WATOTO ARUMERU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MURO KUWASHUGHULIKIA WANAUME WALIOTELEKEZA WATOTO ARUMERU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/dc-muro-kuwashughulikia-wanaume.html
0 Response to "DC MURO KUWASHUGHULIKIA WANAUME WALIOTELEKEZA WATOTO ARUMERU"
Post a Comment