BINTI THERESIA,MKAZI WA MBURU ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU

BINTI THERESIA,MKAZI WA MBURU ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BINTI THERESIA,MKAZI WA MBURU ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BINTI THERESIA,MKAZI WA MBURU ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU
kiungo : BINTI THERESIA,MKAZI WA MBURU ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU

soma pia


BINTI THERESIA,MKAZI WA MBURU ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU

"Huyu binti anaitwa Theresia yupo hapa Mbulu, aliugua ghafla na kupooza upande wa kulia toka 2011,alikuwa hawezi kuongea kabisa kwa zaidi ya mwaka mmoja,baada ya matibabu kwa mwaka mmoja alianza kuongea kidogo na kukaa,

Lakini kutokana na hali kuwa ngumu ya kumuhudumia ,wazazi wake walishindwa kuendelea na matibabu,na kwa zaidi ya miaka sita amekuwa akilala ndani tu muda wote,na hawezi kufanya chochote japo kuwa kwa sasa anaweza kuongea kidogo saana na kwa mbali ananyanyua mkono wake,tumemtembelea na kumpatia kiti cha kumuwezesha hata kutoka nje. 

Tunatamani binti huyu aweze kuanza kupatiwa matibabu tena na mazoezi! Watanzania wenzangu tumsaidie, Tutawajulisha pindi tutakapojua taratibu zote za matibabu na gharama kisha tutatoa mawasiliano ya wazazi wake! Ana umri wa miaka 27 na kabla alikuwa ni mfanyakazi katika mamlaka ya maji safi Mbulu". 

Mungu Ibariki Tanzania

Taarifa hii ni kwa Hisani ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Ndg. Hudson Kamoga

 Pichani ni  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Ndg. Hudson Kamoga akimsaidia  binti  Theresia mkazi wa Mbulu, kumtoa nje kwa njia ya baiskeli ya walemavu (Wheel Chair) ,Theresa aliugua ghafla na kupooza upande wa kulia tangu mwaka 2011,kufuatia hali hiyo bint huyo anahitaji msaada wa Matibabu


Hivyo makala BINTI THERESIA,MKAZI WA MBURU ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU

yaani makala yote BINTI THERESIA,MKAZI WA MBURU ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BINTI THERESIA,MKAZI WA MBURU ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/binti-theresiamkazi-wa-mburu-anahitaji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BINTI THERESIA,MKAZI WA MBURU ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU"

Post a Comment