ASKALI WANNE KORTIN KWA TUHUMA YA RUSHWA

ASKALI WANNE KORTIN KWA TUHUMA YA RUSHWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ASKALI WANNE KORTIN KWA TUHUMA YA RUSHWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ASKALI WANNE KORTIN KWA TUHUMA YA RUSHWA
kiungo : ASKALI WANNE KORTIN KWA TUHUMA YA RUSHWA

soma pia


ASKALI WANNE KORTIN KWA TUHUMA YA RUSHWA

Askari wanne wa Pori la Akiba la Mkungunero, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kiteto kwa tuhuma ya kushawishi na kuomba rushwa ya Sh milioni tano kutoka kwa wafugaji ambao mifugo yao ilikamatwa ndani ya pori hilo.

Akisoma hati ya mashtaka ya watuhumiwa hao, Mwendesha mashataka wa Takukuru Mkoa wa Manyara, Isdory Kyando mbele ya Hakimu Mkazi, Hudi Majid, alidai tukio hilo lilitokea Mei 12 mwaka huu katika Kijiji cha Ilkiushbouir wilayani Kiteto.

Kyando aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni Martenus Mahoka, Augustino Sadick, Ephrahim Polepole na Godfrey Matheas wote askari wa Pori la Akiba la Mkungunero.

Alidai fedha hizo waliziomba kutoka kwa wenye mifugo waliokuwa wamekamatwa ndani ya Pori la Akiba la Mkungunero waweze kuiachia mifugo199 wakiwamo ng’ombe, mbuzi, kondoo na punda.

Kyando alidai washtakiwa hao kwa pamoja wanatuhumiwa kutenda kosa kwa mujibu wa Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa namba 11/2007 kifungu cha 15 (1),

Washtakiwa hao kwa pamoja walikana mashitaka na walipata dhamana hadi Septemba 17 mwaka huu kesi yao itakapotajwa tena.


Hivyo makala ASKALI WANNE KORTIN KWA TUHUMA YA RUSHWA

yaani makala yote ASKALI WANNE KORTIN KWA TUHUMA YA RUSHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ASKALI WANNE KORTIN KWA TUHUMA YA RUSHWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/askali-wanne-kortin-kwa-tuhuma-ya-rushwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ASKALI WANNE KORTIN KWA TUHUMA YA RUSHWA"

Post a Comment