AFA, FDT, YATAMBULISHA FURSA YA UWEKEZAJI SEKTA YA MISITU.

AFA, FDT, YATAMBULISHA FURSA YA UWEKEZAJI SEKTA YA MISITU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AFA, FDT, YATAMBULISHA FURSA YA UWEKEZAJI SEKTA YA MISITU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AFA, FDT, YATAMBULISHA FURSA YA UWEKEZAJI SEKTA YA MISITU.
kiungo : AFA, FDT, YATAMBULISHA FURSA YA UWEKEZAJI SEKTA YA MISITU.

soma pia


AFA, FDT, YATAMBULISHA FURSA YA UWEKEZAJI SEKTA YA MISITU.



Mkurugenzi wa Mfuko wa Uendeshaji wa  Misitu Francis Rwebogora akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam wakati akitambulisha Mtandao wa MITIBIASHARA.
Na Rukanuga, Dar es Salaam.
Taasisi ya Ki-uanachama ya African Forestry (AF) kwa kushirikiana na Taasisi ya Uendeshaji Misitu (FDT) wametambulisha Jukwaa la kuwasaidia wawekezaji katika sekta ya kilimo cha misitu jambo ambalo litasaidia uzalishaji malighafi.

Jukwaa hilo limelenga kutoa elimu ya kilimo cha miti kwa njia ya Mtandao kupitia App ya 'MITIBIASHARA' jambo ambalo litasaidia kufanikisha Tanzania ya Viwanda.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uendelezaji wa Misitu Francis Rwebogora, amesema kuwa miti ni zao muhimu katika sekta ya ujenzi, viwanda pamoja na kutengeneza samani.

Amesema kuwa kutokana na umuhimu M misitu wameona ni vyema kutoa elimu juu ya biashara ya miti ili kuhakikisha kila mtu ananufaika na uwekezaji wa miti.

Rwebogora amesema kuwa ni wakati umefika watanzania kujiunga na Jukwaa hilo ili kukutana na wadau mbalimbali katika sekta ya Misitu, ikiwemo wakulima wa miti, wafanyabiashara, makapuni makubwa ya misitu pamoja na watafiti.

"Kuna ukosefu wa taarifa sahihi zinazohusu kilimo cha miti, kuanzia kuandaa shamba, upatikanaji wa mbegu bora, utunzaji wa shamba, masoko, be pamoja na ushauri wa kitaalamu"amesema  Rwebogora.

Mwezeshaji wa Biashara katika Taasisi hiyo Emmanuel Sangalali, amesema kuwa wamejipaka kuhakikisha wawekezaji katika Kilimo cha miti wanapata taarifa sahihi ikiwemo mafunzo stahiki  kupitia Jukwaa Maalum.

Amesema kuwa Jukwaa hilo limesheni taarifa na mijadala yenye lengo la kuwawezesha wawekezaji kuwekeza wakiwa na uwakika bila kupoteza fedha.


Hivyo makala AFA, FDT, YATAMBULISHA FURSA YA UWEKEZAJI SEKTA YA MISITU.

yaani makala yote AFA, FDT, YATAMBULISHA FURSA YA UWEKEZAJI SEKTA YA MISITU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AFA, FDT, YATAMBULISHA FURSA YA UWEKEZAJI SEKTA YA MISITU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/afa-fdt-yatambulisha-fursa-ya-uwekezaji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "AFA, FDT, YATAMBULISHA FURSA YA UWEKEZAJI SEKTA YA MISITU."

Post a Comment