title : Zamfuko kutua mbao fc
kiungo : Zamfuko kutua mbao fc
Zamfuko kutua mbao fc
Na Agnes Francis, globu ya jamii.
Hatimaye klabu ya mbaofc wamefanikiwa kuinasa saini ya mchezaji Zam Elias Zamfuko aliyekuwa akichezea timu ya Afrikan Lyon.
Katika makubaliano baina yao kiungo mkabaji huyo ataitumikia klabu hiyo yenye makao makuu kanda ya ziwa mkoani mwanza kwa misimu miwili.
Klabu hiyo iliyomaliza msimu wake kwa kusua sua kwa sasa imefikisha jumla ya wachezaji 3 katika muendelezo wa usajili wake.
Ni katika harakati za kujiandaa na msimu ujao wa vodacom Tanzania bara (VPL) 2018-2019 inayotarajia kuanza hivi karibuni.
Kiungo mkabaji zam Elias Zamfuko alietokea african lyon akiwa ameshikilia jezi ya waajiri wake wapya mbao fc baada ya kusaini mkataba miwili katika klabu hiyo.
Hivyo makala Zamfuko kutua mbao fc
yaani makala yote Zamfuko kutua mbao fc Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Zamfuko kutua mbao fc mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/zamfuko-kutua-mbao-fc.html
0 Response to "Zamfuko kutua mbao fc"
Post a Comment