title : Waziri wa Maji atembelea Shirika la Maji DAWASCO
kiungo : Waziri wa Maji atembelea Shirika la Maji DAWASCO
Waziri wa Maji atembelea Shirika la Maji DAWASCO
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa (kulia) akipokelewa na mwenyeji wake Mkurugenzi Mkuuwa Shirika la Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASCO), Cyprian Luhemeja wakati Waziri huyo alipotembea shirika hilo mara baada ya kuteuliwa kuwa Waziri wa wizara hiyo.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa (kulia) akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASCO) wakati alipotembelea shirika hilo jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASCO) wakimsikiliza Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani) wakati waziri huyo alipotembelea shirika hilo jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuuwa Shirika la Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASCO), Cyprian Luhemeja akitoa taarifa ya shirika hilo kwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani) wakati waziri huyo alipotembelea shirika hilo jana jijini Dar es Salaam. Picha na MAELEZO.
Hivyo makala Waziri wa Maji atembelea Shirika la Maji DAWASCO
yaani makala yote Waziri wa Maji atembelea Shirika la Maji DAWASCO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Maji atembelea Shirika la Maji DAWASCO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/waziri-wa-maji-atembelea-shirika-la.html
0 Response to "Waziri wa Maji atembelea Shirika la Maji DAWASCO"
Post a Comment