title : WAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WATATU HOSPITALI YA KASULU MJI KWA TUHUMA ZA KUIBA DAWA
kiungo : WAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WATATU HOSPITALI YA KASULU MJI KWA TUHUMA ZA KUIBA DAWA
WAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WATATU HOSPITALI YA KASULU MJI KWA TUHUMA ZA KUIBA DAWA
Na Rhoda Ezekiel Kigoma,
WAZIRI mkuu Kasimu Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Hospitali ya Wilaya ya Kasulu mji ambao wanatuhumiwa kuiba dawa na kwenda kuuza katika maduka ya mjini.
Aidha, Waziri Mkuu ameahidi kuyafunga maduka yote yanayo nunua dawa kwa Watumishi ambao wanaiba dawa katika hospitali za Wananchi na kwenda kuuza kwa ajili ya kujinufaisha wao.
Waziri Mkuu alifikia uamuzi huo leo wakati alipotembelea Hospitali ya Wilaya ya Kasulu na kubaini tatizo la upotevu wa dawa na vifaa tiba katika hospitali hiyo na kumuagiza mganga Mkuu kuwasimamisha kazi watumishi hao wapishe uchunguzi na watakapo bainika wanahusika na tuhuma hizo hatua kali zitachukuliwa dhidi yao.
" watumishi wazembe , wezi na wala rushwa na wasio waadilifu hawatufai katika serikali yetu na kamwe hatutawavumilia hivyo tutawaondoa.Aliwataja watumishi wanao husika ni wanaohusika na tuhuma hiyo ni Michael Nindi ambae ni mfamasia wa Wilaya , Tilasi Mbombwe ambae ni mtu wa maabara na Venancea Batega muuguzi.
PMO 0608 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Bibi Pendo Lilola kwa kujifungua salama mtoto wa kiume katika wodi ya wazazi kwenye Hospitali ya wilaya ya Kasulu Julai 29, 2018. Mheshimiwa Majaliwa aliitembelea Hospitali hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Julai 30, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Hivyo makala WAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WATATU HOSPITALI YA KASULU MJI KWA TUHUMA ZA KUIBA DAWA
yaani makala yote WAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WATATU HOSPITALI YA KASULU MJI KWA TUHUMA ZA KUIBA DAWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WATATU HOSPITALI YA KASULU MJI KWA TUHUMA ZA KUIBA DAWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/waziri-mkuu-awasimamisha-kazi-watumishi.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WATATU HOSPITALI YA KASULU MJI KWA TUHUMA ZA KUIBA DAWA"
Post a Comment