WALIOKUWA NGARIBA TARIME WAPEWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI.

WALIOKUWA NGARIBA TARIME WAPEWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WALIOKUWA NGARIBA TARIME WAPEWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WALIOKUWA NGARIBA TARIME WAPEWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI.
kiungo : WALIOKUWA NGARIBA TARIME WAPEWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI.

soma pia


WALIOKUWA NGARIBA TARIME WAPEWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI.

Na Frankius Cleophace Tarime.

Waliokuwa Ngariba Wilayani Tarime Mkoani Mara wamepatiwa Mafunzo ya Ujasiriamali kwa lengo la kujikwamua Kiuchumi ili wasirudie tena suala Ukeketaji kwa Mtoto wa ni baada ya kupatiwa Elimu juu ya Madhara ya Ukeketaji kwa Mtoto wa Kike.

Ngariba hao wamedai kuwa kipindi cha Ukeketaji hupata pesa Nyingi zinazotokana na Ukeketaji jambo ambalo uwangumu kuacha kitendo hicho licha ya Mashirika mbalimbali likiwemo Shirika la AFGM Masanga kuendelea kutoa Elimu juu ya Madhara ya Ukeketaji ili Jmii iweze kubadilika.

Kwa kuliona hilo Shirika la ATFGM Masanga ambao ni wadau wa Kupinga Ukatili katika Jamii wameamua kutoa Mafunzo ya Ujasiriamali kwa Waliokuwa Ngariba lakini kwa sasa wameachana na Kitendo hicho baada ya kupewa Elimu ili waweze kufanya kazi zinazotambulika na Serikali kwa lengo la kujipatia kipato na siyo kutegemea tena Ukeketaji.

Mafunzo hayo ya Ujasirimali pia yamewashirikisha Mabinti lengo ni kuwajengea Uwezo ili kuendelea kutoa Elimu hiyo katika Jamii inayowazunguka huku walikuwa Ngariba hao wakipatiwa Mafunzo ili kuendeleza Biashara zao na kuondokana na mawazo ya kurudia kukeketa tena.

Wamedai kuwa katika Kukeketaji wamekuwa wakipata zaidi ya Mill Nane mpaka Tisa Ukeketaji unamalizika huku Binti Mmoja akikeketwa kuanzia Elfu Kumi na zaidi.“Sisi kipindi cha Ukeketaji tulikuwa tunapata Pesa Nyingi lakini kwa sasa wazee wamekataa hatutakeketa tena hivyo tunaomba Serikali itupatie Mitaji baada ya Mafunzo haya tuliyoyapata” alisema Mmoja wa Walikuwa Ngariba.

Mgeni rasmi ambaye ni Katibu wa Afya Wilaya ya Tarime Neema Alphonce akikabidhi cheti cha Mafunzo ya Ujasiriamali kwa mmoja wa waliokuwa ngariiba baadaya kupata Elimu hiyo.
Picha ya pamoja na Mgeni rasmi na Washiriki baada ya kupata Mafunzo 
Mkurugenzi wa Shirika la ATFGM Masanga Sister Stella Mgaya akiongea na Washiriki wa Mafunzo hayo na kusisitiza suala kuendelea kuelimisha jamii katika Maeeo wanayotoka.
Washiriki wakiendelea na Mafunzo hayo.



Hivyo makala WALIOKUWA NGARIBA TARIME WAPEWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI.

yaani makala yote WALIOKUWA NGARIBA TARIME WAPEWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WALIOKUWA NGARIBA TARIME WAPEWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/waliokuwa-ngariba-tarime-wapewa-mafunzo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WALIOKUWA NGARIBA TARIME WAPEWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI."

Post a Comment