WAKAZI KIGAMBONI WAMWANGUKIA RAIS MAGUFULI,RC MAKONDA KUWASAIDIA KUTATUA KERO INAYOWAKABILI - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKAZI KIGAMBONI WAMWANGUKIA RAIS MAGUFULI,RC MAKONDA KUWASAIDIA KUTATUA KERO INAYOWAKABILI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
WAKAZI KIGAMBONI WAMWANGUKIA RAIS MAGUFULI,RC MAKONDA KUWASAIDIA KUTATUA KERO INAYOWAKABILIkiungo :
WAKAZI KIGAMBONI WAMWANGUKIA RAIS MAGUFULI,RC MAKONDA KUWASAIDIA KUTATUA KERO INAYOWAKABILI
WAKAZI KIGAMBONI WAMWANGUKIA RAIS MAGUFULI,RC MAKONDA KUWASAIDIA KUTATUA KERO INAYOWAKABILI
Na Emmanuel Massaka ,Globu ya jamii
WAKAZI wa Kata ya Somangila wilayani Kigamboni mkoani Dar es Salaam wamemuomba Rais Dk.John Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es SalaamPaul Magufuli kuingilia kati suala la mgogoro uliopo kwenye Kata hiyo uliokwamisha miundombinu ya barabara kusimama.
Hayo yamebainishwa jana na wakazi wa eneo hilo wakati wakizungumza na waandishi wa habari walipokuwa wamekutana na Diwani wa Kata hiyo,Chichi Masanja na Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo Sadick Mohamed ambapo wameelezea kuhusu kero yao ya miundombinu ya barabara ambayo imekwamishwa na mmoja wa Mkurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam.
Wakazi hao wakizungumza kwa nyakati tofauti wameelezea kwamba Mkurugenzi huyo(wakamtaja ) amezungushia uzio kwenye eneo la barabara hivyo kusababisha usumbufu hasa kwa akina mama wajawazito wanapohitaji kwenda kujifungua.
Kwa upande wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo kijiji cha Dege Kata ya Somangila, Sadick Mohamed, amesema kuwa Mkurugenzi huyo amejimilikisha zaidi ya ekari 100 ambazo haziendelezwi na hivyo zimesababisha kuwepo kwa wahalifu wanaojificha kwenye vichaka vilivyopo kwenye mashamba hayo.
Amesema kuwa mbali na wahalifu pia amekwamisha miradi ya maendeleo kama vile ujenzi wa Barabara unaosimamiwa na Wakala wa Barabara vijijini na mijini (TARULA) ambayo tayari fedha zake zilikwisha tengwa katika bajeti ya 2017/18 hivyo ujenzi huo ukiendelea kusimama fadha hizo zinaweza kurudi Serikali kuu.
Wakati huo huo Diwani wa Kata hiyo Chichi Masanja amesema ni vema Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuingila kati suala hilo kwani linakwamisha maendeleo katika wilaya hiyo.Na iwapo ipo haja ya Rais Magufuli kuingilia kati utakuwa jambo jema zaidi.
Hivyo makala WAKAZI KIGAMBONI WAMWANGUKIA RAIS MAGUFULI,RC MAKONDA KUWASAIDIA KUTATUA KERO INAYOWAKABILI
yaani makala yote WAKAZI KIGAMBONI WAMWANGUKIA RAIS MAGUFULI,RC MAKONDA KUWASAIDIA KUTATUA KERO INAYOWAKABILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAKAZI KIGAMBONI WAMWANGUKIA RAIS MAGUFULI,RC MAKONDA KUWASAIDIA KUTATUA KERO INAYOWAKABILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/wakazi-kigamboni-wamwangukia-rais.html
Related Posts :
KUMBILAMOTO AKABIDHI PIKIPIKI KWA KUNDI LA VIJANA WAJASILIAMALI VINGUNGUTI
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti, Omary Kumbilamaoto akizungumza na Wakazi wa Vingunguti juu ya namna alivyto… Read More...
‘AU REVOIR’ GCAM CREDIT SCORING TEAMTanzania Agricultural Development Bank (TADB) has paid a farewell to the delegation from Group Credit Agricole of Morocco (GCAM) which was i… Read More...
SAFARI YA WAZALENDO 47 ILIVYOINGIA SIKU YA PILI WAKATI WAKIELEKEA KILELE CHA UHURU,KATIKA MLIMA KILIMANJARO.
Baada ya kupumzika katika kituo cha Mandara katika siku ya kwanza ,Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Jenerali George Waitara aliongoza Wazalendo 47 k… Read More...
· Airtel yatangaza bando kuongezeka GB na muda wa matumizi zaidiKampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imekutana na watangazi wa radio mbalimbali nchini na kuongelea ongezeko la faida za mteja kati… Read More...
Zantel kwa kushirikiana na Bodi ya Mamlaka ya Mapato ya Zanzibar wameingia katika makubaliano ambayo yatawawezesha wakazi wa kisiwani hapa kurahisisha huduma ya ulipaji kodi kwa njia ya simu kupitia huduma ya EzyPesa inayotolewa na Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel. Ushirikiano huo unawezesha wateja wote wa Bodi ya Mapato Zanzibar kuweza kufanya miamala ya malipo ya kodi bila usumbufu wowote kupitia EzyPesa. Hii inamaanisha kwamba walipa kodi wa ndani wataweza kulipa kodi zao husika ikiwamo ushuru wa forodha na kodi zingine kama PAYE na VAT kwenye uingizaji wa biadhaa kupitia mfumo wa EzyPESA. Akizungumza wakati wa hafla ya kutiliana saini ya makubaliano hayo Alhamisi ya tarehe 14 Desemba 2017, Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Sherif El Barbary akiwa ameambatana na Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar, Amour Hamil Bakari na Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohamed Mussa (Baucha) alisema lengo kuu la huduma hiyo ni kuwawezesha wakazi wa Zanzibar kulipa kodi kwa urahisi zaidi kupitia huduma ya EzyPesa ya Zantel. Alisema kuwa hatua hiyo ya makubaliano inaendana sawa na dira ya Bodi ya Mapato Zanzibar, yenye lengo la kuwa kitovu cha ukusanyaji mapato chenye ufanisi, jambo ambalo litaiwezesha nchi kuongeza pato la taifa la ndani kwa mwaka (GDP). “Kama tunaweza kuongeza ukusanyaji wa mapato kupitia huduma ya EzyPesa na pato la Taifa GDP litaongezeka zaidi. Hii itasaidia kuimarisha uchimi wa Taifa zima, na kwa namna nyingine kipato cha mwananchi wa kawaida kitaongezeka. Alisema Zantel ni miongoni mwa kampuni inayoongoza katika kuchangia malipo makubwa ya kodi kwa Serikali ya Zanzibar na mtandao huo utaendelea kuhakikisha unaendelea na utaratibu wa kusaidia Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Bodi ya Mapato ya Zanzibar ili kuhakikisha kwamba wanakusanya kodi kwa kadri wanavyoweza kupitia huduma ya EzyPesa. Takwimu zinaonyesha kwamba Zantel inalipa Shilingi blioni 2 kama kodi kwa serikali ya Zanzibar kila mwezi ambapo ni takribani shilingi 24 bilioni kwa mwaka. “Lengo la ushirikiano huu ni kuhakikisha tunawasogezea wananchi huduma za ulipaji kodi karibu na maeneo yao, nikimaanisha kuwa sasa hawatohitaji kupoteza muda mwingi kuzifuata huduma za kodi ofisini kwetu bali zitakuwepo viganjani mwao,” alisema Kamishna wa Kodi wa Bodi ya Mapato Zanzibar, Amour Hamil Bakari. Alisema lengo kuu la Bodi ya Mapato Zanzibar ni kusogeza huduma karibu kwa wateja wake, kuimarisha shughuli za utendaji wa kila siku za taasisi hyo ikiwa ni pamoja na kubuni mbinu mbadala za kuongeza ukusanyaji wa mapato Zanzibar
Zantel kwa kushirikiana na Bodi ya Mamlaka ya Mapato ya Zanzibar wameingia katika makubaliano ambayo yatawawezesha wakazi wa kisiwan… Read More...
0 Response to "WAKAZI KIGAMBONI WAMWANGUKIA RAIS MAGUFULI,RC MAKONDA KUWASAIDIA KUTATUA KERO INAYOWAKABILI"
Post a Comment