WADAU VYAMA VYA SIASA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MATAKWA YA SHERIA YA GHARAMA ZA UCHAGUZI

WADAU VYAMA VYA SIASA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MATAKWA YA SHERIA YA GHARAMA ZA UCHAGUZI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WADAU VYAMA VYA SIASA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MATAKWA YA SHERIA YA GHARAMA ZA UCHAGUZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WADAU VYAMA VYA SIASA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MATAKWA YA SHERIA YA GHARAMA ZA UCHAGUZI
kiungo : WADAU VYAMA VYA SIASA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MATAKWA YA SHERIA YA GHARAMA ZA UCHAGUZI

soma pia


WADAU VYAMA VYA SIASA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MATAKWA YA SHERIA YA GHARAMA ZA UCHAGUZI


Wakati tukielekea kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buyungu na kata 77 utakaofanyika tarehe 12 Agosti, 2018, nachukue fursa hii kuwakumbusha wadau wote hususani vyama vya siasa, wagombea na Asasi za kiraia kuzingatia matakwa ya Sheria ya Gharama za Uchaguzi na Sheria ya Vyama vya Siasa.

Sheria ya Gharama za uchaguzi inamtaka kila Mgombea wa Ubunge na Udiwani kuweka wazi mapato na matumizi ya gharama anazotarajia kuzitumia wakati wa uchaguzi husika kwa kujaza fomu maalumu ( EE1 & EE2) ambazo hujazwa na kuwasilishwa kwenye mamlaka husika ndani ya siku saba, kuanzia siku ya uteuzi wa wagombea. Hivyo ninasisitiza ujazaji sahihi wa fomu hizo maalumu ili kukidhi matakwa ya Sheria.

Pia, ninawakumbusha wagombea, vyama vya siasa na umma kwa ujumla kuepuka kufanya vitendo vinavyokatazwa na Sheria za nchi hususani Kanuni za Maadili ya Vyama vya Siasa, Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Gharama za Uchaguzi ili kuhakikisha kuwa uchaguzi unakuwa huru na wa haki na pia unaendeshwa katika hali ya Amani na utulivu.
Nichukue nafasi hii pia kuwatakia Wadau wote maandalizi na uchaguzi Mwema.

Jaji Francis S.K. Mutungi
MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA.




Hivyo makala WADAU VYAMA VYA SIASA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MATAKWA YA SHERIA YA GHARAMA ZA UCHAGUZI

yaani makala yote WADAU VYAMA VYA SIASA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MATAKWA YA SHERIA YA GHARAMA ZA UCHAGUZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WADAU VYAMA VYA SIASA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MATAKWA YA SHERIA YA GHARAMA ZA UCHAGUZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/wadau-vyama-vya-siasa-wakumbushwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WADAU VYAMA VYA SIASA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MATAKWA YA SHERIA YA GHARAMA ZA UCHAGUZI"

Post a Comment