title : Vodacom Tanzania yakabidhi zawadi kwa mshindi wa Sh. 290 M za Tusua Mapene
kiungo : Vodacom Tanzania yakabidhi zawadi kwa mshindi wa Sh. 290 M za Tusua Mapene
Vodacom Tanzania yakabidhi zawadi kwa mshindi wa Sh. 290 M za Tusua Mapene
Mshindi mkuu wa awamu ya kwanza ya promosheni ya Tusua mapene, Jackson A. Mwankemwa (51) ambaye ni mkazi wa kijiji cha Msasani, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, akikabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi 290,409,580 na mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kulia) wakati wa hafla iliyofanyika makao makuu ya Vodacom jijini Dar es Salaam jana, katikati ni afisa kitengo cha Kidijitali na Huduma za ziada wa kampuni hiyo Furaha Limu.
Mshindi mkuu wa awamu ya kwanza ya promosheni ya Tusua mapene, Jackson A. Mwankemwa (51) ambaye ni mkazi wa kijiji cha Msasani, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, akikabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi 290,409,580 na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kulia) huku akishuhudiwa na familia yake (wa pili kutoka kulia) ni dada yake Rose Mwankemwa, Togile Sampegete na mtoto wake wa mwisho Erick Jackson wakati wa hafla iliyofanyika makao makuu ya Vodacom Tanzania Plc jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa wa kitengo cha Kidijitali na Huduma za ziada wa kampuni hiyo, Furaha Limu.
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, mara baada ya kumkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi 290,409,580 mshindi mkuu wa promosheni ya Tusua mapene awamu ya kwanza, Jackson A. Mwankemwa (51) ambaye ni mkazi wa kijiji cha Msasani, wilayani Rungwe mkoani Mbeya.
Hivyo makala Vodacom Tanzania yakabidhi zawadi kwa mshindi wa Sh. 290 M za Tusua Mapene
yaani makala yote Vodacom Tanzania yakabidhi zawadi kwa mshindi wa Sh. 290 M za Tusua Mapene Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Vodacom Tanzania yakabidhi zawadi kwa mshindi wa Sh. 290 M za Tusua Mapene mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/vodacom-tanzania-yakabidhi-zawadi-kwa.html
0 Response to "Vodacom Tanzania yakabidhi zawadi kwa mshindi wa Sh. 290 M za Tusua Mapene"
Post a Comment