UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUUNGANISHA GESI ASILIA KWA MATUMIZI YA MAJUMBANI WASHIKA KASI

UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUUNGANISHA GESI ASILIA KWA MATUMIZI YA MAJUMBANI WASHIKA KASI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUUNGANISHA GESI ASILIA KWA MATUMIZI YA MAJUMBANI WASHIKA KASI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUUNGANISHA GESI ASILIA KWA MATUMIZI YA MAJUMBANI WASHIKA KASI
kiungo : UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUUNGANISHA GESI ASILIA KWA MATUMIZI YA MAJUMBANI WASHIKA KASI

soma pia


UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUUNGANISHA GESI ASILIA KWA MATUMIZI YA MAJUMBANI WASHIKA KASI

Ni miezi mitatu sasa tangu Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani alipozindua rasmi mradi wa kuunganisha bomba kubwa la gesi asilia linalotoka Mtwara hadi Dar es Salaam na bomba la kipenyo kidogo linalotoka Ubungo kuelekea Mikocheni. 

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Mha. Kapuulya Musomba alifafanua kwamba utekelezaji wa mradi huo unalenga kuongeza matumizi ya gesi asilia kwa jiji la Dar es Salaam kwa kuwaunganisha wateja zaidi wa matumizi ya majumbani na viwandani. 

Mradi huu unahusisha ujenzi wa msingi kwa ajili ya kusimika mtambo wa kupunguza mgandamizo, uunganishaji wa vipande vya mabomba, kuthibitisha njia ya bomba, uchimbaji na ulazaji wa bomba litakalochukua gesi kutoka bomba kubwa, uwekaji wa viainisho vya bomba linapopita na ujenzi wa daraja la waenda kwa miguu kuvuka mto Ubungo. 

Akizungumza juu ya hatua za utekelezaji, Meneja Mradi Ndg. Denice Byarushengo alisema “mradi umepiga hatua kubwa na muhimu ambapo hadi sasa ujenzi wa msingi kwa ajili ya kusimika mtambo wa kupunguza mgandamizo umekamilika kwa asilimia 97%, uthibitisho wa njia ya bomba na zoezi la kuchimba mitaro kwa ajili ya mabomba umekalimilika kwa asilimia 76.8%, uunganishaji wa mabomba umekamilika kwa asilimia 88.6%, ulazaji na ufukiaji wa mabomba umekamilika kwa asilimia 56.9%, viainisho sita (6) vya bomba linapopita vimeshawekwa na ujenzi wa dara la waenda kwa miguu umekamilika kwa asilimia 90%”.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Mha. Kapuulya Musomba (mwenye overall ya bluu) akijadiliana jambo na Ndg. Ildefons Mnimbo ambaye ni mtaalamu kutoka kampuni ya Plasco anaesimamia zoezi la kuunganisha mabomba, alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa kuunganisha bomba kubwa la gesi kutoka Mtwara na lile la kutoka Ubungo kuelekea Mikocheni. 
Sehemu ya eneo la barabara ya Ubungo Maziwa inayochimbwa kitaalamu bila kuvunja barabara ili kuruhusu bomba la gesi kuvuka barabara hiyo. 
Bomba lenye kipenyo cha 315mm likiwa limelazwa katika mtaro tayari kufukiwa, hii ni sehemu ya bomba linalochukua gesi asilia kutoka kwenye bomba kuu linalotoka Mtwara hadi Dar es Salaam na kuunganisha na bomba linalotoka Ubungo kuelekea Mikocheni. 



Hivyo makala UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUUNGANISHA GESI ASILIA KWA MATUMIZI YA MAJUMBANI WASHIKA KASI

yaani makala yote UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUUNGANISHA GESI ASILIA KWA MATUMIZI YA MAJUMBANI WASHIKA KASI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUUNGANISHA GESI ASILIA KWA MATUMIZI YA MAJUMBANI WASHIKA KASI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/utekelezaji-wa-mradi-wa-kuunganisha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUUNGANISHA GESI ASILIA KWA MATUMIZI YA MAJUMBANI WASHIKA KASI"

Post a Comment