RPC ARUSHA:MADEREVA AMBAO HAWATAZINGATIA SHERIA NA TARATIBU ZA USALAMA BARABARNI KUCHUKULIWA HATUA

RPC ARUSHA:MADEREVA AMBAO HAWATAZINGATIA SHERIA NA TARATIBU ZA USALAMA BARABARNI KUCHUKULIWA HATUA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RPC ARUSHA:MADEREVA AMBAO HAWATAZINGATIA SHERIA NA TARATIBU ZA USALAMA BARABARNI KUCHUKULIWA HATUA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RPC ARUSHA:MADEREVA AMBAO HAWATAZINGATIA SHERIA NA TARATIBU ZA USALAMA BARABARNI KUCHUKULIWA HATUA
kiungo : RPC ARUSHA:MADEREVA AMBAO HAWATAZINGATIA SHERIA NA TARATIBU ZA USALAMA BARABARNI KUCHUKULIWA HATUA

soma pia


RPC ARUSHA:MADEREVA AMBAO HAWATAZINGATIA SHERIA NA TARATIBU ZA USALAMA BARABARNI KUCHUKULIWA HATUA

Na Vero Ignatus Arusha.

Ukaguzi wa magari ya abiria na mizigo umefanyika leo mkoani Arusha ukiongozwa na Kamanda wa polisi Ramadhani Ngazi ,ambapo yamebainika makosa mbalimbali yakiwemo baadhi ya madereva hawana leseni ,magari mabovu,mifumo ya breki na mifumo ya usukani ni mibovu.

Akizungumza wakati wa zoezi hilo RPC amesema lengo kuu la ukaguzi huo ni kuhakikisha abiria wanaposafiri wanakuwa salama pamoja na chombo husika .Aidha amewataka madereva kufahamu kuwa lazima wazingatie kanuni za sheria za usalama barabarani kwani atakaekiuka sheria itafuata mkondo wake.

Akisisitiza umuhimu wa kufunga mikanda Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani Joseph Bukombe amesema kuwa utafiti unaonyesha kuwa asilimia 40%ya kufunga mkanda unaokoa maisha pale ajali inapotokea.

"Watafiti wanasema kuwa asilimia 40%ya kufunga mkanda hivyo ni vizuri elimu hii mkaitoa hata kwenye familia zenu umuhimu wa kufunga mkanda uwapo ndani ya chombo cha usafiri" alisema Bukombe.Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani Joseph Bukombe amewaomba wamiliki wa vyombo vya usafiri kutengeneza na kurekebisha mifumo ya ndani ya magari yao,badala ya kuweka urembo wa kupaka rangi

Baadhi ya madereva wamepongeza jitihada hizo za jeshi la polisi ,Kwa upande wao madereva,akiwemo Salum Said ambao wamewashauri wenzao waache tabia za kutumia vilevi.Pia wamelipongeza jeshi la polisi kwanjitihada wanazozifanya zanihakikikisha kila dereva anapata elimu ya kutosha ili kuhakikisha wanajitahidinkuzuia ajali zinazosababishwa na kizembe.


Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Ramadhani Ng'azi akizungumza na waandishi juu ya zoezi la ukaguzi wa magari katika stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoaninna nchi jirani aliyepo kushoto kwake ni RTO mkoani hapo Joseph Bukombe.Picha na Vero Ignatus
Kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha Ramadhani Ng'aziakikagua matairi kwenye moja ya gari .Picha na Vero Ignatus.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Ramadhani Ng'azi akiendelea na ukaguzi wamagari kama inavyoonekana pichani.Picha na Vero Ignatus.


Hivyo makala RPC ARUSHA:MADEREVA AMBAO HAWATAZINGATIA SHERIA NA TARATIBU ZA USALAMA BARABARNI KUCHUKULIWA HATUA

yaani makala yote RPC ARUSHA:MADEREVA AMBAO HAWATAZINGATIA SHERIA NA TARATIBU ZA USALAMA BARABARNI KUCHUKULIWA HATUA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RPC ARUSHA:MADEREVA AMBAO HAWATAZINGATIA SHERIA NA TARATIBU ZA USALAMA BARABARNI KUCHUKULIWA HATUA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/rpc-arushamadereva-ambao-hawatazingatia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RPC ARUSHA:MADEREVA AMBAO HAWATAZINGATIA SHERIA NA TARATIBU ZA USALAMA BARABARNI KUCHUKULIWA HATUA"

Post a Comment