TAMISEMI Yakabidhiwa Gari Kuboresha Ufanisi Huduma za Afya

TAMISEMI Yakabidhiwa Gari Kuboresha Ufanisi Huduma za Afya - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAMISEMI Yakabidhiwa Gari Kuboresha Ufanisi Huduma za Afya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAMISEMI Yakabidhiwa Gari Kuboresha Ufanisi Huduma za Afya
kiungo : TAMISEMI Yakabidhiwa Gari Kuboresha Ufanisi Huduma za Afya

soma pia


TAMISEMI Yakabidhiwa Gari Kuboresha Ufanisi Huduma za Afya

 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Zainab Chaula (kushoto) akitiliana saini hati ya makabidhiano ya msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser kwa ajili ya  ufuatiliaji wa shughuli za Ukimwi katika ngazi ya jamii na Mradi wa Kuimarisha Mifumo ya Afya na Ustawi wa Jamii (CHSSP), Dkt. Tulli Tuhuma wakati wa hafla fupi ya kukabidhiana msaada huo leo jijini Dodoma. Kulia ni Mwakilishi wa USAID, Bi. Linda Madeleka. Msaada huo umetolewa kwa TAMISEMI na Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani(USAID) kupitia mradi wa CHSSP unaotekelezwa na Shirika lisilo la Kiserikali la John Snow Inc (JSI).
  Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Zainab Chaula (kushoto) akakipokea hati ya makabidhiano msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser kwa ajili ya  ufuatiliaji wa shughuli za Ukimwi katika ngazi ya jamii leo jijini Dodoma. Kushoto ni Mwakilishi wa USAID, Bi. Linda Madeleka na Mkurugenzi wa Mradi wa Kuimarisha Mifumo ya Afya na Ustawi wa Jamii (CHSSP), Dkt. Tulli Tuhuma. Msaada huo umetolewa kwa TAMISEMI na Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani(USAID) kupitia mradi wa CHSSP unaotekelezwa na Shirika lisilo la Kiserikali la John Snow Inc (JSI).
  Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Zainab Chaula (katikati) akipokea ufunguo wa gari na Mwakilishi wa USAID, Bi. Linda Madeleka wakati wa hafla ya makabidhiano ya msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser kwa ajili ya  ufuatiliaji wa shughuli za Ukimwi katika ngazi ya jamii leo jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Afya toka Tamisemi, Rasheed Maftah. Msaada huo umetolewa kwa TAMISEMI na Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani(USAID) kupitia mradi wa CHSSP unaotekelezwa na Shirika lisilo la Kiserikali la John Snow Inc (JSI).
 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Zainab Chaula akiwasha gari mara baada ya kukabidhiwa ufunguo wa gari hiyo na Mwakilishi wa USAID, Bi. Linda Madeleka (hayupo pichani) wakati wa hafla ya makabidhiano ya msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser kwa ajili ya  ufuatiliaji wa shughuli za Ukimwi katika ngazi ya jamii leo jijini Dodoma. Msaada huo umetolewa kwa TAMISEMI na Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani(USAID) kupitia mradi wa CHSSP unaotekelezwa na Shirika lisilo la Kiserikali la John Snow Inc (JSI).
 Muonekano wa gari aina ya Toyota Landcruser lilolokabidhiwa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa ajili ya  ufuatiliaji wa shughuli za Ukimwi katika ngazi ya jamii leo jijini Dodoma. Msaada huo umetolewa kwa TAMISEMI na Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani(USAID) kupitia mradi wa CHSSP unaotekelezwa na Shirika lisilo la Kiserikali la John Snow Inc (JSI).
 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Zainab Chaula(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa hafla fupi ya makabidhiano ya msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser kwa ajili ya  ufuatiliaji wa shughuli za Ukimwi katika ngazi ya jamii leo jijini Dodoma. Msaada huo umetolewa kwa TAMISEMI na Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani(USAID) kupitia mradi wa CHSSP unaotekelezwa na Shirika lisilo la Kiserikali la John Snow Inc (JSI).(Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO, Dodoma).


KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala TAMISEMI Yakabidhiwa Gari Kuboresha Ufanisi Huduma za Afya

yaani makala yote TAMISEMI Yakabidhiwa Gari Kuboresha Ufanisi Huduma za Afya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAMISEMI Yakabidhiwa Gari Kuboresha Ufanisi Huduma za Afya mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/tamisemi-yakabidhiwa-gari-kuboresha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAMISEMI Yakabidhiwa Gari Kuboresha Ufanisi Huduma za Afya"

Post a Comment