SERIKALI YA ZANZIBAR YAFANIKISHA UKARABATI JENGO LA TRENI ASILIMIA 70

SERIKALI YA ZANZIBAR YAFANIKISHA UKARABATI JENGO LA TRENI ASILIMIA 70 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YA ZANZIBAR YAFANIKISHA UKARABATI JENGO LA TRENI ASILIMIA 70, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YA ZANZIBAR YAFANIKISHA UKARABATI JENGO LA TRENI ASILIMIA 70
kiungo : SERIKALI YA ZANZIBAR YAFANIKISHA UKARABATI JENGO LA TRENI ASILIMIA 70

soma pia


SERIKALI YA ZANZIBAR YAFANIKISHA UKARABATI JENGO LA TRENI ASILIMIA 70


MWAMBA WA HABARI.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema, ukarabati wa jengo refu maarufu la treni lililopo Darajani eneo la Mji Mkongwe, unaendelea vizuri na umefikia asilimia 70.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Khalid Salum Mohamed ameyasema hayo wakati anatoa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya jengo hilo.
Dk Mohamed alisema ukarabati wa jengo hilo unafanywa na kampuni ya Kichina ya CRJ iliyosajiliwa nchini baada ya kushinda zabuni ya ujenzi wa mradi huo.
''Ujenzi wa mradi wa jengo la treni unaendelea vizuri ukiwa umekidhi vigezo vyote vinavyotakiwa kwa mujibu wa maelekezo ya Mamlaka ya hifadhi ya Mji Mkongwe pamoja na Unesco,''amesema.
Amesema jengo hilo litakuwa na uwezo wa lifti mbili zitakazofanya kazi, ambapo kwa mujibu wa utafiti wa Mji Mkongwe litakuwa na uwezo wa kudumu zaidi ya miaka 100.
Aidha, alisema mradi huo umegharimu Sh bilioni 11.2 ambapo serikali inatarajiwa kukabidhiwa jengo hilo mwezi ujao baada ya kukamilika taratibu zote za ujenzi na mikataba ambapo mjenzi tayari amelipwa asilimia 59 ya fedha anazodai kwa mujibu wa mkataba.
Alisema mara mradi huo utakapomalizika, wahusika wote waliokuwepo awali ambao ni wapangaji waliokuwa wakifanya biashara wataitwa na kupewa taarifa rasmi.
Alifahamisha wafanyabiashara waliokuwepo awali ndiyo watakaopewa kipaumbele cha kwanza kama watakubaliana na vigezo na makubaliano na wahusika ambao ni Mfuko wa Hifadhi ya Jamii(ZSSF).
''Hakuna mkubwa aliyechukua milango ya maduka hadi sasa, wahusika waliokuwepo awali ndiyo watakaopewa kipaumbele cha kwanza kama watakubaliana masharti na wamiliki wa jengo hilo,''alisema Chanzo;habari leo.


Hivyo makala SERIKALI YA ZANZIBAR YAFANIKISHA UKARABATI JENGO LA TRENI ASILIMIA 70

yaani makala yote SERIKALI YA ZANZIBAR YAFANIKISHA UKARABATI JENGO LA TRENI ASILIMIA 70 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YA ZANZIBAR YAFANIKISHA UKARABATI JENGO LA TRENI ASILIMIA 70 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/serikali-ya-zanzibar-yafanikisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YA ZANZIBAR YAFANIKISHA UKARABATI JENGO LA TRENI ASILIMIA 70"

Post a Comment