title : Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Yatoa Shukran Kwa Wananchi wa Kijiji cha Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja Wilaya ya Kusini Unguja.
kiungo : Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Yatoa Shukran Kwa Wananchi wa Kijiji cha Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja Wilaya ya Kusini Unguja.
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Yatoa Shukran Kwa Wananchi wa Kijiji cha Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja Wilaya ya Kusini Unguja.
Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Mhe Hassan Khatib Hassan akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kitogani(Hawapo Pichani) wakati wa kutoa mkono wa shukrani kwa wanakijiji wa Kitogani kwa kutoa Ushirikiano baada ya kuamua kutoa maeneo yao ya makaazi kwa ajili ya kujengwa kiwanja cha Michezo. Kiwanja cha Kitogani ni moja ya viwanja ambavyo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk Ali Mohamed Shein aliahidi wakati wa Kampeni ikiwa ni utekelezaji wa iIani ya Uchaguzi CCM kuhakikisha anawapatia wananchi maendeleo ikiwemo viwanja vya michezo.( Kulia) Katibu Mkuu Wizara Vijana, Utamaduni Sanaa na Michezo, Omar Hassan OmarHivyo makala Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Yatoa Shukran Kwa Wananchi wa Kijiji cha Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja Wilaya ya Kusini Unguja.
yaani makala yote Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Yatoa Shukran Kwa Wananchi wa Kijiji cha Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja Wilaya ya Kusini Unguja. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Yatoa Shukran Kwa Wananchi wa Kijiji cha Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja Wilaya ya Kusini Unguja. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/serikali-ya-mapinduzi-zanzibar-yatoa.html
0 Response to "Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Yatoa Shukran Kwa Wananchi wa Kijiji cha Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja Wilaya ya Kusini Unguja."
Post a Comment