RONALDO AGAWA MILIONI 53M

RONALDO AGAWA MILIONI 53M - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RONALDO AGAWA MILIONI 53M, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RONALDO AGAWA MILIONI 53M
kiungo : RONALDO AGAWA MILIONI 53M

soma pia


RONALDO AGAWA MILIONI 53M



Muda mfupi baada ya kuanza maisha ya kuwa mchezaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo ameonyesha kuwa yeye ni mtu wa watu.



Ronaldo (33) alikuwa nchini Italia siku kadhaa zilizopita ili kukamilisha dili lake la kusajiliwa na Juventus, inaelezwa kuwa akiwa hotelini alipofi kia alifurahishwa na huduma aliyopatiwa kutoka kwa watoa huduma na ndipo akaaamua kuwapa fedha wagawane.

Akiwa hotelini hapo na baadhi ya memba wa familia yake, kabla ya kuondoka aliwaita wale wote waliokuwa wakiwahudumia na kuwapa pauni 17,850 (Sh milioni 53) kama zawadi ya huduma nzuri na kuwaambia wagawane.


Hivyo makala RONALDO AGAWA MILIONI 53M

yaani makala yote RONALDO AGAWA MILIONI 53M Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RONALDO AGAWA MILIONI 53M mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/ronaldo-agawa-milioni-53m.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RONALDO AGAWA MILIONI 53M"

Post a Comment