Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama amehitimisha ziara yake nchini Tanzania ambayo ilikuwa ya mapumziko na kuelekea Kenya.

Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama amehitimisha ziara yake nchini Tanzania ambayo ilikuwa ya mapumziko na kuelekea Kenya. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama amehitimisha ziara yake nchini Tanzania ambayo ilikuwa ya mapumziko na kuelekea Kenya., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama amehitimisha ziara yake nchini Tanzania ambayo ilikuwa ya mapumziko na kuelekea Kenya.
kiungo : Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama amehitimisha ziara yake nchini Tanzania ambayo ilikuwa ya mapumziko na kuelekea Kenya.

soma pia


Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama amehitimisha ziara yake nchini Tanzania ambayo ilikuwa ya mapumziko na kuelekea Kenya.

Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama amehitimisha ziara yake nchini Tanzania ambayo ilikuwa ya mapumziko na kuelekea Kenya.
Bw Obama amekuwa kwenye hifadhi ya taifa ya Serengeti kwa usiri mkubwa, ingawa ilifahamika kwamba angewasili nchini Kenya na kuhudhuria sherehe ya uzinduzi wa kituo kimoja cha hisani eneo alikozaliwa babake Kogelo, Siaya magharibi mwa Kenya.
Msemaji wa serikali ya Tanzania ameandika kwenye Twitter: "Rais Mstaafu wa Marekani @BarackObama amehitimisha mapumziko ya siku 8 pamoja na familia yake katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti nchini."
Baada ya kuwasili, alikutana na Rais Uhuru Kenyatta na baadaye akakutana na kiongozi wa upinzani Raila Odinga.
Obama na wageni wake watahudhuria uzinduzi wa Sauti Kuu, Shirika lisilokuwa la kiserikali la kuwawezesha vijana lililoanzishwa na dadake wa kambo Auma Obama katika eneo la Kogelo kaunti ya Siaya siku ya Jumatatu.


Hivyo makala Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama amehitimisha ziara yake nchini Tanzania ambayo ilikuwa ya mapumziko na kuelekea Kenya.

yaani makala yote Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama amehitimisha ziara yake nchini Tanzania ambayo ilikuwa ya mapumziko na kuelekea Kenya. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama amehitimisha ziara yake nchini Tanzania ambayo ilikuwa ya mapumziko na kuelekea Kenya. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/rais-mstaafu-wa-marekani-barack-obama_15.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama amehitimisha ziara yake nchini Tanzania ambayo ilikuwa ya mapumziko na kuelekea Kenya."

Post a Comment