title : RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUAGANA NA MABALOZI WATATU WALIOMALIZA MUDA WAO HAPA NCHINI
kiungo : RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUAGANA NA MABALOZI WATATU WALIOMALIZA MUDA WAO HAPA NCHINI
RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUAGANA NA MABALOZI WATATU WALIOMALIZA MUDA WAO HAPA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Sweden hapa nchini anayemaliza muda wake Katarina Rangnitt mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwatambulisha Baadhi ya Viongozi (hawaonekani pichani ) kwa Balozi wa Sweden hapa nchini anayemaliza muda wake Katarina Rangnitt mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Sweden hapa nchini anayemaliza muda wake Katarina Rangnitt mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mchumi kutoka Ubalozi wa Sweden True Schedvin

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi Balozi wa Norway anayemaliza muda wake hapa nchini Hanne-Marie Kaarstad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Norway anayemaliza muda wake hapa nchini Hanne-Marie Kaarstad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa Malawi anayemaliza muda wake hapa nchini Hawa Olga Ndilowe mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi Balozi wa Malawi anayemaliza muda wake hapa nchini Hawa Olga Ndilowe mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUAGANA NA MABALOZI WATATU WALIOMALIZA MUDA WAO HAPA NCHINI
yaani makala yote RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUAGANA NA MABALOZI WATATU WALIOMALIZA MUDA WAO HAPA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUAGANA NA MABALOZI WATATU WALIOMALIZA MUDA WAO HAPA NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/rais-magufuli-akutana-na-kuagana-na_11.html
0 Response to "RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUAGANA NA MABALOZI WATATU WALIOMALIZA MUDA WAO HAPA NCHINI"
Post a Comment