Rais Dk Shein amuaga Balozi wa Kuwait anaemaliza muda wake

Rais Dk Shein amuaga Balozi wa Kuwait anaemaliza muda wake - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Dk Shein amuaga Balozi wa Kuwait anaemaliza muda wake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Dk Shein amuaga Balozi wa Kuwait anaemaliza muda wake
kiungo : Rais Dk Shein amuaga Balozi wa Kuwait anaemaliza muda wake

soma pia


Rais Dk Shein amuaga Balozi wa Kuwait anaemaliza muda wake

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Kuwait katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jasem Ibrahuim Al-Najem alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais, baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini,[Picha na Ikulu.] 29/07/2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake  Balozi wa 
Kuwait katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jasem Ibrahuim Al-Najem alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais, baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini,[Picha na Ikulu.] 29/07/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake  Balozi wa Kuwait katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jasem Ibrahuim Al-Najem alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais, baada ya mazungumzo yao ambae amemaliza muda wake wa kazi Nchini,[Picha na Ikulu.] 29/07/2018.



Hivyo makala Rais Dk Shein amuaga Balozi wa Kuwait anaemaliza muda wake

yaani makala yote Rais Dk Shein amuaga Balozi wa Kuwait anaemaliza muda wake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein amuaga Balozi wa Kuwait anaemaliza muda wake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/rais-dk-shein-amuaga-balozi-wa-kuwait.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Dk Shein amuaga Balozi wa Kuwait anaemaliza muda wake"

Post a Comment