title : POLISI MKOANI MBEYA WANAMSHIKILIA MTU MMOJA KWA TUHUMA ZA UJANGILI
kiungo : POLISI MKOANI MBEYA WANAMSHIKILIA MTU MMOJA KWA TUHUMA ZA UJANGILI
POLISI MKOANI MBEYA WANAMSHIKILIA MTU MMOJA KWA TUHUMA ZA UJANGILI
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limefanikiwa kumkamata mtu mmoja kwa anayetuhumiwa kwa ujangili akiwa na nyara za serikali. Mtuhumiwa huyo aliyetambulika kwa jina la Edson Mwakalenga (43) Mkazi wa Lualaje Wilayani Chunya, alikamatwa Julai 20 mwaka huu akiwa na Pembe za mbili za Ndovu, Mkia wa Tandala na Gobole pamoja na kipande cha ngozi ya Tandala. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei (pichani) amethibisha kutokea kwa tukio hilo.
Hivyo makala POLISI MKOANI MBEYA WANAMSHIKILIA MTU MMOJA KWA TUHUMA ZA UJANGILI
yaani makala yote POLISI MKOANI MBEYA WANAMSHIKILIA MTU MMOJA KWA TUHUMA ZA UJANGILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala POLISI MKOANI MBEYA WANAMSHIKILIA MTU MMOJA KWA TUHUMA ZA UJANGILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/polisi-mkoani-mbeya-wanamshikilia-mtu.html
0 Response to "POLISI MKOANI MBEYA WANAMSHIKILIA MTU MMOJA KWA TUHUMA ZA UJANGILI"
Post a Comment