title : POLISI MBEYA WANAPAMBANA KUINASUA MIILI YA WATU WAWILI ILIYONG'ANG'ANIA KATIKA GARI
kiungo : POLISI MBEYA WANAPAMBANA KUINASUA MIILI YA WATU WAWILI ILIYONG'ANG'ANIA KATIKA GARI
POLISI MBEYA WANAPAMBANA KUINASUA MIILI YA WATU WAWILI ILIYONG'ANG'ANIA KATIKA GARI
Na Said Mwishehe, Globu ya jamii
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mbeya amethibitisha kufariki dunia kwa watu watano baada ya kutokea ajali ya kugongana magari matatu jana usiku na kinachoendelea asubuhi ya leo ni kuiondoa miili ya watu wawili ambayo imeng'ang'ania katika gari.
Ajali hiyo imetokea jana usiku katika eneo la Mlima Igawilo nje kigogo ya Mji wa Mbeya Mjini na kusababisha video vya watu hao.
Akizungumza na Michuzi Blog kwa njia ya simu asubuhi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi,Urich Matei amesema katika ajali hiyo wote waliofariki ni wanaume na kwamba watu watatu walifanikiwa ukitoa miili yao eneo la ajali na kuipeleka chumba cha kuhifadhia maiti.
"Kwa sasa asubuh hii tupo eneo ambao ajali imetokea kwani kuna miili ya watu wawili bado tunahangaika kuitoa katika gari. Imekandamizwa ndani ya gari ndogo aina ya Noah ambayo ililaliwa na kontena.
"Hivyo tunaendelea kuitoa miili ya watu hawa.Idadi ya watu waliokufa ni watano na majeruhi mtu mmoja. Chanzo cha ajali imetokana na lori ambalo limebeba kontena kufeli breki na kusababisha gea boksi kukatika na hivyo kupoteza muelekeo,"amesema Kamanda.
Hivyo makala POLISI MBEYA WANAPAMBANA KUINASUA MIILI YA WATU WAWILI ILIYONG'ANG'ANIA KATIKA GARI
yaani makala yote POLISI MBEYA WANAPAMBANA KUINASUA MIILI YA WATU WAWILI ILIYONG'ANG'ANIA KATIKA GARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala POLISI MBEYA WANAPAMBANA KUINASUA MIILI YA WATU WAWILI ILIYONG'ANG'ANIA KATIKA GARI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/polisi-mbeya-wanapambana-kuinasua-miili.html
0 Response to "POLISI MBEYA WANAPAMBANA KUINASUA MIILI YA WATU WAWILI ILIYONG'ANG'ANIA KATIKA GARI"
Post a Comment