title : Pianda akutana na ujumbe wa Mradi wa Utambuzi wa Sanaa za Ufundi Tanzania (TACIP)
kiungo : Pianda akutana na ujumbe wa Mradi wa Utambuzi wa Sanaa za Ufundi Tanzania (TACIP)
Pianda akutana na ujumbe wa Mradi wa Utambuzi wa Sanaa za Ufundi Tanzania (TACIP)
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda akielezea jambo kwa wawakilishi wa mradi wa TACIP baada ya kupokea barua yao. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Nicholaus William na katikati ni Mratibu wa mradi huo, Bw. Macmillan George.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda akiongea na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Nicholaus William baada ya kupokea zawadi ya picha ya kuchora ya simba iliyotolewa na wawakilishi wa mradi wa TACIP.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda akimsikiliza Rais wa TAFCA na Mtendaji Mkuu Mshirika wa Mradi wa Utambuzi wa Sanaa za Ufundi Tanzania (TACIP), Bw. Adrian Nyangamalle wakati yeye na wenzake walipomtembelea nyumbani kwake, kijiji cha Nzinje, nje kidogo ya Jiji la Dodoma kumuomba awe mlezi wa mradi huo.
Hivyo makala Pianda akutana na ujumbe wa Mradi wa Utambuzi wa Sanaa za Ufundi Tanzania (TACIP)
yaani makala yote Pianda akutana na ujumbe wa Mradi wa Utambuzi wa Sanaa za Ufundi Tanzania (TACIP) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Pianda akutana na ujumbe wa Mradi wa Utambuzi wa Sanaa za Ufundi Tanzania (TACIP) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/pianda-akutana-na-ujumbe-wa-mradi-wa.html
0 Response to "Pianda akutana na ujumbe wa Mradi wa Utambuzi wa Sanaa za Ufundi Tanzania (TACIP)"
Post a Comment