title : NYARA ZA SERIKALI ZAWAPONZA WATU HAWA
kiungo : NYARA ZA SERIKALI ZAWAPONZA WATU HAWA
NYARA ZA SERIKALI ZAWAPONZA WATU HAWA
Polisi wilayani Serengeti Mkoa wa Mara wanawashikiria watu kumi kwa kosa la kukutwa na nyara za Taifa kinyume cha sheria.
Kamanda wa Polisi mkoa huo, Juma Ndaki akizungumza na waandishi jana Jumapili Julai 22, 2018 alisema watuhumiwa hao wamekutwa na vipande 531 vya nyama kavu, mikia 24 ya nyumbu, mikia 12 ya pundamilia, nyaya 75 za kutegea, mapanga mawili, visu viwili, dumu nane za maji na baiskeli 10.
Ndaki alisema mzigo huo ulilkamatwa kwenye kambi yao ya ujangili eneo la Togoro ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwa ushirikiano wa askari wa Hifadhi hiyo na Polisi wilayani humo.
“Watuhumiwa wote ni wakazi wa kata za Nyambureti na Nyamatare wilayani Serengeti,” alisema Ndaki
Hivyo makala NYARA ZA SERIKALI ZAWAPONZA WATU HAWA
yaani makala yote NYARA ZA SERIKALI ZAWAPONZA WATU HAWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NYARA ZA SERIKALI ZAWAPONZA WATU HAWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/nyara-za-serikali-zawaponza-watu-hawa.html
0 Response to "NYARA ZA SERIKALI ZAWAPONZA WATU HAWA"
Post a Comment