DKT. NDUGULILE AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA WATAKAOSABABISHA WATOTO KUPATA MIMBA MKOANI SIMUYU.

DKT. NDUGULILE AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA WATAKAOSABABISHA WATOTO KUPATA MIMBA MKOANI SIMUYU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. NDUGULILE AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA WATAKAOSABABISHA WATOTO KUPATA MIMBA MKOANI SIMUYU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. NDUGULILE AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA WATAKAOSABABISHA WATOTO KUPATA MIMBA MKOANI SIMUYU.
kiungo : DKT. NDUGULILE AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA WATAKAOSABABISHA WATOTO KUPATA MIMBA MKOANI SIMUYU.

soma pia


DKT. NDUGULILE AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA WATAKAOSABABISHA WATOTO KUPATA MIMBA MKOANI SIMUYU.


Naibu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile(katikati) akifurahia jambo pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka (kushoto) mara baada ya kumtembeea Ofisininkwake akiwa katika ziara ya siku mbili ya kikazi mkoani humo. 
Picha na WAMJW

Na WAMJW Simiyu
 Mwamba wa habari
Naibu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile imewaagiza viongozi wa Mkoa wa Simiyu kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wote watakaobainika kusababisha mimba kwa watoto.
Ameyasema hayo wakati alipotembelea Mkoa wa Simiyu kwa ziara ya kikazi kutembela na kukagua maendeleo ya Sekta ya Afya na Maendeleo ya Jamii kwa Mkoa wa Simiyu.
Dkt. Ndugulile amesema kuwa mimba za utotoni zimekuwa zikiwakatisha ndoto zao watoto walio wengi kwa kukatatisha masomo yao.
“Niwatake uongozi wa mkoa kufuatilia suala hili kwa undani na kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wote watakaobainika kuhusika katika kuwapa mimba watoto alisisitiza Mhe. Dkt. Ndugulile.
Amesema kuwa kwa mujibu wa takwimu za kitaifa Mkoa wa Simiyu una asilimia 32 za mimba za utotoni hivyo kukatisha masomo na ndoto kwa watoto wa shule.
 Ameongeza kuwa Serikali haitavumilia kuona watoto wakipata mimba wakiwa shuleni ambazo zinatahatarisha ustawi wao nchini.
Aidha Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka amemuelezea Naibu Waziri kuwa anaendelea kuwachukulia hatua wale wote wanaofanya vitendo hivyo kulingana na Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 na Katiba ya nchi kwa kuwapa mimba watoto wa shule na kwa kipindi cha mwaka huu amewakamata zaidi watu tisa katika Wilaya ya Maswa .
Mhe. Mtaka ameongeza kuwa katika mkoa wake hawataruhusu kutokea kwa matukio hayo na kwatahadharisha wale wote watakaobainikiwa kuwa watoto wa shule mimba na kuwaasa wazazi walezi na walimu kuzingatia katika kumlinda mtoto.
Mhe. Mtaka ameeleza kuwa Serikali ya mkoa itaendelea kupambana pia na vitendo vya Ndoa, Mimba za Utotoni na ukatili wa Kijinsia,


Hivyo makala DKT. NDUGULILE AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA WATAKAOSABABISHA WATOTO KUPATA MIMBA MKOANI SIMUYU.

yaani makala yote DKT. NDUGULILE AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA WATAKAOSABABISHA WATOTO KUPATA MIMBA MKOANI SIMUYU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. NDUGULILE AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA WATAKAOSABABISHA WATOTO KUPATA MIMBA MKOANI SIMUYU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/dkt-ndugulile-aagiza-kuchukuliwa-hatua.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DKT. NDUGULILE AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA WATAKAOSABABISHA WATOTO KUPATA MIMBA MKOANI SIMUYU."

Post a Comment