NEWZ ALERT: AJALI YAUA WATU 20 MBEYA, YAJERUHI 48

NEWZ ALERT: AJALI YAUA WATU 20 MBEYA, YAJERUHI 48 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWZ ALERT: AJALI YAUA WATU 20 MBEYA, YAJERUHI 48, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWZ ALERT: AJALI YAUA WATU 20 MBEYA, YAJERUHI 48
kiungo : NEWZ ALERT: AJALI YAUA WATU 20 MBEYA, YAJERUHI 48

soma pia


NEWZ ALERT: AJALI YAUA WATU 20 MBEYA, YAJERUHI 48

*Ni baada ya magari manne kugongana katika eneo la Mlima Iwambi 

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii 

WATU 20 wakiwamo wanaume 10 na wanawake 10 wamepoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea katika eneo na Mlima Iwimbi mkoani Mbeya huku watu 48 wakijeruhiwa. 

Akizungumza na Michuzi Blog kwa njia ya simu leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Mussa Taibu amesema ajali hiyo imetokea leo saa sita mchana baada ya magari manne kugongana na kusababisha vifo vya watu hao. 

Amefafanua gari Lori namba T607 TMD iliyokuwa imebeba kontena ikiwa na tela ndio iliyosababisha ajali hiyo baada ya kuigonga hiace ambayo ilipoteza muelekeo na kisha kuanguka. Kamanda Taibu ameongeza kuwa mbali ya hiace hiyo kupoteza muelekeo iisababisha gari nyingine ambazo zilizokuwa zinatokea Mbazili kuelekea Mjini nazo kugongana na gari iliyokuwa imbeba kontena. 

Hivyo gari yenye kontena nayo ikadondoka na kisha kuikandamiza gari ya Hiace ambayo tayari ndio ilikuwa ya kwanza kupoteza muelekeeo. Ameongeza kuwa kutokana na kugongana kwa gari hizo ilisababisha watu 20 kupoteza maisha na wengine 48 kujeruhiwa. 

Amefafafanua kati ya majeruhi 48 waliojeruhiwa majeruhi 20 wametibiwa na kuruhusiwa na wengine 28 bado wanaendelea kupatiwa matibabu. 
Baadhi ya Wananchi wakishuhudia ajali iliyotokea leo katika eneo hilo,ambapo watu 20 wamepoteza Maisha na wengine 48 kujeruhiwa
Lori namba T607 TMD iliyokuwa imebeba kontena ikiwa na tela,likiwa limepinduka na kusabisha ajali hiyo baada ya kuigonga hiace ambayo ilipoteza muelekeo na kisha kuanguka. 
Baadhi ya Wananchi wakiitazama gari Hiace iliyopoteza muelekeo mara baada ya kugongwa na Lori na kupelekea vifo vya watu 20 na wengine 48 kujeruhiwa


Hivyo makala NEWZ ALERT: AJALI YAUA WATU 20 MBEYA, YAJERUHI 48

yaani makala yote NEWZ ALERT: AJALI YAUA WATU 20 MBEYA, YAJERUHI 48 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT: AJALI YAUA WATU 20 MBEYA, YAJERUHI 48 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/newz-alert-ajali-yaua-watu-20-mbeya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEWZ ALERT: AJALI YAUA WATU 20 MBEYA, YAJERUHI 48"

Post a Comment