MWENGE WA UHURU WAINGIA GAIRO NA KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA MILIONI MIASABA NA ZAIDII

MWENGE WA UHURU WAINGIA GAIRO NA KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA MILIONI MIASABA NA ZAIDII - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWENGE WA UHURU WAINGIA GAIRO NA KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA MILIONI MIASABA NA ZAIDII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWENGE WA UHURU WAINGIA GAIRO NA KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA MILIONI MIASABA NA ZAIDII
kiungo : MWENGE WA UHURU WAINGIA GAIRO NA KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA MILIONI MIASABA NA ZAIDII

soma pia


MWENGE WA UHURU WAINGIA GAIRO NA KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA MILIONI MIASABA NA ZAIDII

 Mkuu wa Wilaya ya Gairo Siriel Mchembe akipokea Mwenge kutoka kwa Mkuu wa Wilaya Morogoro Regina Chonjo mara ulipofika katika eneo la Makabidhiano mpakani kati ya Morogoro na Gairo ambapo Mwenge huo umekimbizwa kwa Kilometa 72 katika Wilaya ya Gairo.
 Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018 Charles Kabeho akiweka udongo wenye Saruji pembeni ya tofali wakati aliposhiriki ujenzi wa shule mpya ya sekondari iliyopo Wilayani Gairo kama Sehemu ya Miradi iliyotembelewa na Mwenge.
 Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018 Charles na Mkuu wa Wilaya ya Gairo Sirile Mchembe wakipiga makofi mara bada ya kuweka jiwe la kwenye Majengo Matano Mapya yanayojengwa katika Hospitali ya Gairo.
 Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018 Charles Kabeho akizungumza na Wakazi w Gairo mara baada ya kuweka jiwe la Msingi katika Majengo Matano ya Hospitali ya Gairo.



Hivyo makala MWENGE WA UHURU WAINGIA GAIRO NA KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA MILIONI MIASABA NA ZAIDII

yaani makala yote MWENGE WA UHURU WAINGIA GAIRO NA KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA MILIONI MIASABA NA ZAIDII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWENGE WA UHURU WAINGIA GAIRO NA KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA MILIONI MIASABA NA ZAIDII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mwenge-wa-uhuru-waingia-gairo-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MWENGE WA UHURU WAINGIA GAIRO NA KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA MILIONI MIASABA NA ZAIDII"

Post a Comment