MVUA KUBWA YAVUNJA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI.

MVUA KUBWA YAVUNJA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MVUA KUBWA YAVUNJA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MVUA KUBWA YAVUNJA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI.
kiungo : MVUA KUBWA YAVUNJA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI.

soma pia


MVUA KUBWA YAVUNJA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI.


Mvua  kubwa yenye ukungu uliopita kiasi, radi na ngurumo za kutisha, juzi vilisitisha mazoezi ya mab­ingwa wa Tanzania, Simba.

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems alilazimika kusitisha mazoezi na kuondoa kikosi chake uwanja­ni wakati wa mazoezi ya asubuhi kutokana na mvua hiyo kubwa.

Hali ya hewa ilianza kubadilika taratibu wakati Simba wakijifua na ukungu ukaanza kutanda uki­washangaza wachezaji na benchi la ufundi.

Lakini ghafla, wakati mazoezi yakiendelea mvua kubwa ilianza kunyesha na kusababisha kocha huyo Mbelgiji kusitisha mazoezi.

Kocha mpya wa viungo wa Simba, Adel Zrane alishindwa kuendelea na kazi yake ikiwa ndiyo siku ya kwanza ameanza kazi.

Aussems ali­waambia wache­zaji wake, mazoezi ya jana jioni wangeangalia hali ya hewa. Kama bado ingeen­delea kutishia amani, basi ratiba ingebadilika na kuwa gym kwa kuwa katika eneo la Kartepe gym iko katika vyumba vilivyo chini ya ardhi yani underground


Hivyo makala MVUA KUBWA YAVUNJA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI.

yaani makala yote MVUA KUBWA YAVUNJA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MVUA KUBWA YAVUNJA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mvua-kubwa-yavunja-mazoezi-ya-simba.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MVUA KUBWA YAVUNJA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI."

Post a Comment