MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE

MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE
kiungo : MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE

soma pia


MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE

Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa akimkabidhi mfano wa tiketi ya mechi za Kombe la Dunia, Mshindi wa 11 wa droo ya Shinda na TemboCardVisa, David Hughes ambaye atasafiki kuelekea nchini Urusi kushuhudia moja ya mechi za robo fainali ya Mashindano ya Kombe la Dunia 2018. makabidhiano hayo yamefanyika leo makao makuu ya Benki ya CRDB, jijini Dar es salaam.
Mshindi wa 11 wa droo ya Shinda na TemboCardVisa, David Hughes akizungumza jambo wakati akiishukuru Benki ya CRDB kwa kuendesha droo hiyo iliyompatia ushindi wa kwenda kushuhudia moja ya mechi za Kombe la Dunia nchini Urusi.


Hivyo makala MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE

yaani makala yote MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mshindi-wa-11-wa-droo-ya-shinda-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE"

Post a Comment