MSANII WA KUCHONGA VINYAGO TANZANIA ATOA ZAWADI KWA RAIS PUTIN WA URUSI KWA KUFANIKISHA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA.

MSANII WA KUCHONGA VINYAGO TANZANIA ATOA ZAWADI KWA RAIS PUTIN WA URUSI KWA KUFANIKISHA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSANII WA KUCHONGA VINYAGO TANZANIA ATOA ZAWADI KWA RAIS PUTIN WA URUSI KWA KUFANIKISHA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSANII WA KUCHONGA VINYAGO TANZANIA ATOA ZAWADI KWA RAIS PUTIN WA URUSI KWA KUFANIKISHA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA.
kiungo : MSANII WA KUCHONGA VINYAGO TANZANIA ATOA ZAWADI KWA RAIS PUTIN WA URUSI KWA KUFANIKISHA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA.

soma pia


MSANII WA KUCHONGA VINYAGO TANZANIA ATOA ZAWADI KWA RAIS PUTIN WA URUSI KWA KUFANIKISHA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA.

Na Dixon Busagaga, Moshi.

MSANII wa Sanaa za Uchongaji Vinyago ,Athumani Mwariko ametoa Kinyago cha Kiafrika kama zawadi kwa Rais wa Urusi ,Vladimir Putin ikiwa ni zawadi kwa nchi hiyo kuandaaa na kufanikisha fainali za Fifa za Kombe la Dunia.

Mwariko ambaye pia ni Mkurugenzi wa taasisi ya Sanaa ya Kilimanjaro Cultural Heritage Centre ya mkoani Kilimanjaro alisema zawadi hiyo itawasilishwa kwa Rais Putin kuptia kwa Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo,Dkt Harrison Mwakyembe.

Akizungumza na wanahabari,Mwariko alisema zawadi hiyo kwa Rais Putin inatokana na uandaaji mzuri wa mazingira uliopelekea kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa fainali hizo zilizomalizika hivi karibuni katika miji mbalimbali nchini Urusi.

“Michuano ya Kombe la Dunia mwaka huu tumeweza kushuhudia mazingira tofauti kattika maandalizi yake ,kufanyika hadi kumalizika kwake ,fainali za mwaka huu zimekuwa na utofauti mkubwa sana ukilinganisha na zile zilizopita.”alisema Mwariko.
MSANII wa Sanaa za Uchongaji Vinyago ,Athumani Mwariko akiwa na Kinyago chake alichokichinga. 


Hivyo makala MSANII WA KUCHONGA VINYAGO TANZANIA ATOA ZAWADI KWA RAIS PUTIN WA URUSI KWA KUFANIKISHA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA.

yaani makala yote MSANII WA KUCHONGA VINYAGO TANZANIA ATOA ZAWADI KWA RAIS PUTIN WA URUSI KWA KUFANIKISHA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSANII WA KUCHONGA VINYAGO TANZANIA ATOA ZAWADI KWA RAIS PUTIN WA URUSI KWA KUFANIKISHA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/msanii-wa-kuchonga-vinyago-tanzania.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MSANII WA KUCHONGA VINYAGO TANZANIA ATOA ZAWADI KWA RAIS PUTIN WA URUSI KWA KUFANIKISHA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA."

Post a Comment